Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Jeshi la Kiislam wamejenga ngome zao kwenye shule za watotoUzuri wa hii vita IRGC hawatajificha kwa raia kama walivyokuwa wanafanya Hamas hivyo baada ya anga la Iran kutawaliwa kama week ijayo kama wanavyodai Marekan basi tutarajie maafa makubwa.
Na kuna uwezekano wakawa wanapiga kutoka angani huku ground wakaunda vikundi na kuvipa slaa na fedha viwe vinaendeleza mapambano. Marekan wa Israel wana fitina nyingi mno.
Hii kaambiwa Seneta. Pia mwanajeshi mmoja mtaafu wa Russia anasema wachina wako Iran wanatest hypersonic zao walizowapaBora hata wewe umeelewa...
Na hii ndio strategy ya Iran, sasa yupo phase ya kuchosha mifumo ya kulinda anga na kumaliza interceptor, halafu kipigo kinaanza.
Sasa wewe unataka umlaum benja nyau kwa lipi .Netanyahu baada ya wanajeshi kufa, anatoka shimoni na kuwapa pole akiwaambia vijana pambaneni sana, huku toto lake lipo USA linakula maisha na warembo na marafiki zake, yaani hayo majamaa ni majinga kweli.
Vijana wengi wavivu wakuchimbua mambo nadhani hawawajui hawa jamaa vizuri wanalishwa propaganda za wachambuzi amboa wametapakaa kila kona wanaamini. Hawajiulizi kwa nini Israel alipiga Hamas, Hezbollah, Hought, Siria na sasa kaamia Iran yaani wao hawashtuki ukiwaambia ukweli wanakutukana, acha tuone hii move. Wanakuambia vita ya siku 12 Iran alishinda ukiwauliza waliuwa kiongozi gani au wanajeshi wangapi wa Israel hawana majibu wanasema aliporomoa majengoHawa ndio wahuni wa dunia mzee. Wakikuchangia hutoboi
Ww unamatatizo ya akiliUS hana silaha yeyote unique na ya kutisha..
once ile atomic bomb kwenye WWII nakubali alikuwa unique, maana hakuna nchi iliyekuwa na atomic bomb..
Hivi sasa hayo mabati ya B-2 na hizo carrier ndizo silaha pekee anaogopesha wengine..
Hivi B-2 na carrier ni silaha za kutisha mtu nyakati hizi za sasa za teknolojia imekua hivi?
Carrier ni ferry iliyochangamka...
China wana maslahi mapana hapo, ndio maana meli zake zinaruhusiwa kupita Hormuz...Hii kaambiwa Seneta. Pia mwanajeshi mmoja mtaafu wa Russia anasema wachina wako Iran wanatest hypersonic zao walizowapa
Inasemekana hypersonic za Iranla people like lðp nyingi bado hazijaingizwa kazini.
Hii vita ukitegemea media ni nyepesi sana ila kiukweli US asipofanya namna chapchap inaweza kuwa WW3
Hahaaaaa….Hii kaambiwa Seneta. Pia mwanajeshi mmoja mtaafu wa Russia anasema wachina wako Iran wanatest hypersonic zao walizowapa
Inasemekana hypersonic za Iranla people like lðp nyingi bado hazijaingizwa kazini.
Hii vita ukitegemea media ni nyepesi sana ila kiukweli US asipofanya namna chapchap inaweza kuwa WW3
Niliona 100 others ameandika kesho USA pentagon na bunge wanafanya uamuzi wa kuendelea au kutokuendelea na vitaHii kaambiwa Seneta. Pia mwanajeshi mmoja mtaafu wa Russia anasema wachina wako Iran wanatest hypersonic zao walizowapa
Inasemekana hypersonic za Iranla people like lðp nyingi bado hazijaingizwa kazini.
Hii vita ukitegemea media ni nyepesi sana ila kiukweli US asipofanya namna chapchap inaweza kuwa WW3
Pakistan na Uturuki wanahisi kama Iran ikishindwa basi nao watakuwa wanesogelewa na hawa wababe.Vijana wengi wavivu wakuchimbua mambo nadhani hawawajui hawa jamaa vizuri wanalishwa propaganda za wachambuzi amboa wametapakaa kila kona wanaamini. Hawajiulizi kwa nini Israel alipiga Hamas, Hezbollah, Hought, Siria na sasa kaamia Iran yaani wao hawashtuki ukiwaambia ukweli wanakutukana, acha tuone hii move. Wanakuambia vita ya siku 12 Iran alishinda ukiwauliza waliuwa kiongozi gani au wanajeshi wangapi wa Israel hawana majibu wanasema aliporomoa majengo
Kushinda vita ni kutimiza malengo yaliyokufanya uingie vitani.Vijana wengi wavivu wakuchimbua mambo nadhani hawawajui hawa jamaa vizuri wanalishwa propaganda za wachambuzi amboa wametapakaa kila kona wanaamini. Hawajiulizi kwa nini Israel alipiga Hamas, Hezbollah, Hought, Siria na sasa kaamia Iran yaani wao hawashtuki ukiwaambia ukweli wanakutukana, acha tuone hii move. Wanakuambia vita ya siku 12 Iran alishinda ukiwauliza waliuwa kiongozi gani au wanajeshi wangapi wa Israel hawana majibu wanasema aliporomoa majengo
Mkuu usijifariji uwezo huo hana. Watu wanakaribia kutawala anga waanze kushusha mvua ya mabomu usije ukaanza kulalamika humu next week.Bora hata wewe umeelewa...
Na hii ndio strategy ya Iran, sasa yupo phase ya kuchosha mifumo ya kulinda anga na kumaliza interceptor, halafu kipigo kinaanza.
Sasa si ueleze US ana silaha gani unique yenye teknolojia ambayo nchi zingine hawana?Ww unamatatizo ya akili
Hii sijaisikia ila nimesoma officer anamweleza Seneta jinsi shahed zinavyozipa changamoto air defencesNiliona 100 others ameandika kesho USA pentagon na bunge wanafanya uamuzi wa kuendelea au kutokuendelea na vita
Hi imekaaje wakuu
Acha maneno wewe yaani mtu aje akushambulie na kukuulia viongozi wako wewe kisha akuambie tuache kupigana na wewe ukubali na hujauwa hata kiongozi wao mmoja huu si utani embu tumia common sense mkuu wewe ungekubali?Kushinda vita ni kutimiza malengo yaliyokufanya uingie vitani.
Malengo ya vita ya Israel ilikuwa regime change, na kuangamiza mpango wa nuclear wa Iran. Hawakufanikiwa yote.
Pia wao ndio wakawa wa kwanza kuomba cease-fire, unaelewa kwamba Iran ndiye alimshambulia Israel kwa mara ya mwisho? Israel ikatulia na aibu juu, sasa wana hasira, chuki na vinyongo baada ya kuchekwa.
Unafikiri kuua makamanda wa jeshi ndio kushinda vita? kwanza US walidanganya Iran wana mazungumzo halafu wakawavamia ghafla, viongozi wa Iran wa jeshi wanaishi uraiani kawaida... wakauawa wengi.
Ukweli ni kwamba wengi wenu mmezoea propaganda, na hollywood movies... hamfuatilii mambo kwa undani.
Hapana mkuu sikuandika hivyo.Niliona 100 others ameandika kesho USA pentagon na bunge wanafanya uamuzi wa kuendelea au kutokuendelea na vita
Hi imekaaje wakuu
Putin anakusudia kuzuia kabisa gesi isiende ulaya kama sehemu ya kuongeza preshaHahaaaaa….
Hii vita inaisha muda si mrefu.
Mark my words.
Aanh labda sikuelewa vizuri mkuu tuendelee na uchambuziHapana mkuu sikuandika hivyo.
Nilisema US na bunge kesho wakipinga vita inayoendelea na ikatokea US ikajitoa, Israel italia sana. Maana peke yao watapigwa wachakae..
Wengi wanajua sema ndio ni chuki tu zinawasumbua. Yaani mtu anauwezo wa kukutrack popote ulipo unawezaje kumkwepa. Na leo Israel wamesema huyu Ayotallah mpya waliomchagua akae chonjo maana wameshamuweka kwenye rada.Pakistan na Uturuki wanahisi kama Iran ikishindwa basi nao watakuwa wanesogelewa na hawa wababe.
Kwanza hawafuati sheria yoyote wala hakuna wa kuwafanya chochote.
Iran walisema wakichokozwa wamejiandaa kwa offensive leo Rais wao anasema wako bize wanajidefend. Vita na hawa wakuu sio mchezo hata kama unawapiga ina ni mabingwa wa fitna na zengwe lazima wakushinde utake usitake