Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Acha maneno wewe yaani mtu aje akushambulie na kukuulia viongozi wako wewe kisha akuambie tuache kupigana na wewe ukubali na hujauwa hata kiongozi wao mmoja huu si utani embu tumia common sense mkuu wewe ungekubali?
Iran ni wavumilivu sana, walishaua wanasayansi na wakubwa wa jeshi kama Suleiman, kama kifo cha Suleiman walijibu kwa kurusha missiles tu kwenye base ya US na walitoa taarifa, hawa jamaa si wachokozi na ni wastaarabu.

US na Israel walipokuja kujichanganya ni sasa hivi kumuua Ayatollah, Iran imekataa mazungumzo, maana imekuwa kama mazoea.
 
Hii unaamini au unachangamsha team Ayatollah πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wasilipe vikundi waingie wao tuone uwezo wao.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la saqqez. Milipuko mikubwa
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora Tehran. Milipuko mikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…