Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Israel muda huu inashambulia kwa makombora kambi ya kohsar magharibi mwa Tehran. Milipuko mikubwa
 
sasa iran si alikua anaona raha kuwafund hezbolah na hamas ili waishambulie israel.?...sasa ngoja na yeye aonje moto ili apate utamu kamili
 
Wao ni kitu cha kawaida kuua mtu yoyote, na hawaoni shida kikubwa ni maslahi yao yapite. Hapa umenikumbusha John Bolton. Alihudumu kama Mshauri wa 26 wa Usalama wa Taifa wa Marekani chini ya Rais Donald Trump kuanzia Aprili 2018 hadi Septemba 2019.

Mzee John Bolton anajulikana kama mmoja wa watu wenye misimamo mikali ya kihafidhina katika sera za kigeni, mara nyingi akipendelea matumizi ya nguvu za kijeshi na kutokuamini diplomasia pekee.

Kipindi alipokuwa Balozi wa 25 wa Marekani katika Umoja wa Mataifa (UN) wakati wa utawala wa George W. Bush inasemakana kuwa Bolton, wakati akifanya kazi na serikali ya Bush, alimtolea vitisho mwanadiplomasia wa Brazil, Josรฉ Bustani.

Aliyekuwa akiongoza Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW). Bolton aliripotiwa kumwambia Bustani, "Tunajua mahali watoto wako wanapoishi" (We know where your kids live) ili kumlazimisha ajiuzulu kwa sababu alikuwa akijaribu kufanya mazungumzo na Iraq, hatua ambayo ilipingana na maslahi ya vita ya Marekani wakati huo.
 
sasa hapa mchezo mgumu kivipi wakati iran ameshadhoofishwa nguvu ya anga hawezi tena kutawala anga, amedhoofishwa nguvu na navy hana meli hata moja, amebakiza tu kurusha makombora ya chini ya kujificha.

unachotakiwa ujue hapa marekani hataki kushusha mwanajeshi wake ata mmojaa..anataka wapigane wao kwa wao wamalizane
 
Hormuz imefungwa, sasa imefungwaje kama Israel anatawala anga na bahari? Si umesikia Trump anasema atapeleka jeshi la maji kulinda meli zao zinazopita, IRGC wamemjibu awapeleke hao wanajeshi...
 
๐Ÿ“น๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท For the 4th night, Iranians flood streets in support of Islamic Republicโ€”under bombardment

Unprecedented in size and spread, the marches continue despite ongoing strikes on their cities.
 

Attachments

  • VID_20260305_011146_495.mp4
    3.7 MB
  • VID_20260305_011145_560.mp4
    3.7 MB
  • VID_20260305_011143_544.mp4
    1.3 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ