Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

📹🇮🇷 For the 4th night, Iranians flood streets in support of Islamic Republic—under bombardment

Unprecedented in size and spread, the marches continue despite ongoing strikes on their cities.
Hii comment nilikua namuambia mtu hapa jamiiforums kabla vita haijaanza.

 
Mbona unaongeza chumvi sana... we jamaa bana... eti mlipuko mkubwa sana.. utasema upo eneo la tukio.
Mkuu walio hapo eneo la tukio ndio wanasema. Pia angalia hii video alafu niambie huu mlipuko ni mkubwa au mdogo? Nakuomba tafadhali angalia hii video alafu utaelewa
 

Attachments

  • 2026-03-04_22-53-53_0.mp4
    413.2 KB
💥💥💥💥
Viideo footage: Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kambi ya mizinga ya jeshi yazd. Mlipuko mkubwa
100 others angalia pia hii video
RRONDO angalia pia hii video. Alafu naombeni wenyewe mseme huu mlipuko mnauonaje?
Video👇
 

Attachments

  • 2026-03-05_01-27-24_0.mp4
    1.1 MB
Hawa watu nyuma ya pazia ni wakatili kuliko watu wanavyodhani...
Kuna video moja nili post hapa ya veteran mmoja mzee wa kiyahudi, baada ya oct 7 pale Hamas kuivamia Israel, yule mzee alikuwa anawaambia IDF.

Wakiingia Gaza, waue kuanzia watoto hadi mama zao, mzee alikuwa anaongea Hebrew, aliwaambia wazi malizeni wote, and probably ndicho IDF ilikuwa inatekeleza.

Nyumbu wa Tanzania ambao hawajui dunia ilivyo na nyuma ya haya mambo wanakuambia Hamas walikuwa wanajificha miongoni mwa raia.

Sasa mimi nikawauliza kama walijificha miongoni mwa raia wale mateka waliwaficha wapi? wanakosa jibu, kama mateka walifichwa sehemu ambayo walikuwa salama, ina maana na Hamas walikuwa wanajicha huko huko...

Ila IDF walikuwa na order maalumu shoot and kill children, bomb them, beat them...
 
🔥 Massie: 'Iran is not Venezuela' — and we're already losing

Rep. Thomas Massie dismantles the administration's war narrative on the House floor.

The Ayatollah was not a president. He was a religious leader — which Israel and the US turned into a martyr, he said.

"For what? This administration can't even give us a straight answer as to why we launched this preemptive war."
 

Attachments

  • VID_20260305_013106_030.mp4
    3 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…