King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Mbona kama anavujisha mipango🎤 'We manufacture missiles while launching them' — Iranian general
Sardar Bahman Kargar sends a message of industrial resilience amid ongoing strikes.
"We continue to manufacture missiles alongside launching them, and we have no concerns about our military equipment reserves."
Waajemi ni watu hatari sana.Mbona kama anavujisha mipango
Na pia leo Israel imefungua Ben Gurion International Airport hii ina maana kubwa sana kuwa hakuna kitisho tena cha missile za Iran kwao.Mkuu watu wanapiga vita kwa akili. Mwaka jan mwezi wa sita Israel alimvamia Iran hivyo alitumia makombora mengi san kumpiga muisrael aliyarusha kama mvua watu wakashangilia hawakujua hii ni mbinu ya kivita.
Mwaka huu vita imeanza tayar stoke ya makombora hasa ya masafa marefu imepungua. America kaingia vitani huku akijua kabisa Iran atashambulia kambi zake zilizopo kwa majiran zake na kweli kafanya hivyo, stoke tena imezidi kupungua na ikumbukwe America anapiga miundombinu ya kuzalishia slaa hivyo uwezo wa Iran kijeshi unapunguzwa. Na sasa anga lao linakaribia kutawaliwa na Israel na ikumbukwe hawa jamaa ni hatari mno kwa vita vya anga. Tusubiri tuone.
🤣🤣🤣Kuna mkwara aliupiga Ayatollah ule mkwara ni hatari sana.
Alisema watu wasiogope meli za Marekani zilizosogezwa kwaajili ya vita na Iran ila waogope silaha zitakazotumika kuzizamisha.
Japo hadi sasa haijazamishwa hata moja sijui kwanini.
All in all hii vita ukweli tutaupata siku pakitulia.
Hii vita ninavyoona UN inakwenda kuingilia kati...