Wajinga tu peke Yao wanaweza kukubali uongo huu ambayo nchi hiyo Dola moja ya ki Marekani ni sawa million moja na zaidi pesa ya Iran leo uje useme wana maisha Maduro?? Hivi ninyi Wafuga midevu na Majini Nani aliwaroga??Iran serikali yake inawajali sana raia wake. Kipindi wewe unalipia kupanda SGR Iran raia wanapanda karibia na bure.
Duuuh! Hii habari mbaya sana.π₯π₯π₯π₯
Jeshi la Israel limetangaza kuanza wimbi la 13 la mashambulizi ndani ya Iran
Mkuu hii vita ina athari kubwa sana kwa Mchina kumbuka Iran ndio muuzaji mkubwa wa mafuta kwa China ikifuatiwa na Venezuala sasa wote hao Marekani kawaweka mfukoni.Hawa wanapigana huku China anapanga economic growth targets.
Sasa wewe unakaa unamskiliza huyo Echolima1 mwalimu wa kwaya ya Kilokole,yeye anafikiri missile ikipigwa Israel watu hawafi,watu wanakufa bila sababu yeye analeta ushabiki wa kilokole,Hadi leo kwenye synagoge huko Beit shemas jengo lote limedondoshwa watu kibao bado wamekwama chini ya Synagoge na walikuwa wapo kwenye maficho yao ya mahandakiNdioo maana tunasema athari ni mbaya pande zote. Hivyo kusema Iran tu ndio anapigika ni uongo mtupu. Hapa atakuja Echolima1 (choo cha kulima kimoja1) atasema hii ni habari ya uongo bali irani ndio anayepigika.
China nae kashusha economic growth kuwa 4.5 kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1991.Hawa wanapigana huku China anapanga economic growth targets.
Hii mbona ilishaletwa humu kutoka jana tena kutoka Serikali ya Israel yenyewe kuwa raia tisa wamekufa.Sasa wewe unakaa unamskiliza huyo Echolima1 mwalimu wa kwaya ya Kilokole,yeye anafikiri missile ikipigwa Israel watu hawafi,watu wanakufa bila sababu yeye analeta ushabiki wa kilokole,Hadi leo kwenye synagoge huko Beit shemas jengo lote limedondoshwa watu kibao bado wamekwama chini ya Synagoge na walikuwa wapo kwenye maficho yao ya mahandakiView attachment 3553027
Duh kumbe moto unatembezwa pande zote mpaka nawaonea huruma waliokwama huko chini Mungu awasaidie watake huko chini ya vifusi wakiwa hai.Sasa wewe unakaa unamskiliza huyo Echolima1 mwalimu wa kwaya ya Kilokole,yeye anafikiri missile ikipigwa Israel watu hawafi,watu wanakufa bila sababu yeye analeta ushabiki wa kilokole,Hadi leo kwenye synagoge huko Beit shemas jengo lote limedondoshwa watu kibao bado wamekwama chini ya Synagoge na walikuwa wapo kwenye maficho yao ya mahandakiView attachment 3553027