100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kiongozi Iran hawana sera ya kukamata wananchi wanaorusha picha mitandaoni, Israel wana askari vitengo vya cyber wana raid nyumba ama sehemu ambapo wameona mtu anarekodi video za mashambulizi, na wanakamatwa.Mkuu umeelewa nilichosema hapo?
Unazuia watu wasifanye hivyo, watakusikiliza? Mbona bado wanashare kinachoendeea? Hilo katazao litafanya kazi kea media tu lakini sio kwa watu(iindividuals)
Iran imezima kabisa internet, mbona bado watu wanashare kinachiet?
Serikali haziwezi tena kucontrol social media
Jf imepigwa marufuku Tanzania, lakini Mimi na wewe mbona bado tunaitumia?
Tupo updates mkuu achana na wavimba macho.Mkuu umeelewa nilichosema hapo?
Unazuia watu wasifanye hivyo, watakusikiliza? Mbona bado wanashare kinachoendeea? Hilo katazao litafanya kazi kea media tu lakini sio kwa watu(iindividuals)
Iran imezima kabisa internet, mbona bado watu wanashare kinachiet?
Serikali haziwezi tena kucontrol social media
Jf imepigwa marufuku Tanzania, lakini Mimi na wewe mbona bado tunaitumia?
Duh!The Lebanese army, under the directive of Nawaf Salam and Joseph Aoun's government, has forcibly evicted displaced persons from a shelter school in Beirut.
The security forces engaged in aggressive actions and fired live ammunition over the heads of the displaced individuals.
Cheki sasa ulivyoandika, kinyonge kweli kweli...💥💥💥💥
Iran imeshanbulia kwa makombora Israel
Mzee upo Tehran nini tupe update moja kwa mojaHizi ni apps za iran moja ni ya muvi nyingine ni ya kuangalia mpira na jana tu nimetoka angalia game ya united....mtandao upo haujawahi kuzimwa tupunguze propaganda kwa tusiyoyajua halafu iran wana whatsapp yao wanachat kama kawaida na kuwasiliana daily
Nipo deyyer port haya makombora nimeyaona usiku huu wa saa mbili ila sikujua ni wapi yanaelekea na video ipo nilirekodi💥💥💥💥
Iran imeshambulia kwa makombora Israel. Mlipuko mkubwa
Hamna mkuu mie mleta ripoti tuu!🤣🤣Bado hujakoma? 😀😀😀
Acha masiharaIran mtandao haujazimwa toka vita inaanza nashangaa humu mnasema mtandao umezimwa .....apps zao iran zinafanya kazi imo inafanya kazi ila whatsap fb twitter na apps nyinginezo ndio hazifanyi kazi kabisaaaaaa
Natumia irancell na nimescreenshot kuonyesha mtandao haujazimwa na hapa iran mitandao ya simu ni miwili tu
Wapo wanaosema Israel imezuia msisambaze hizo video. Sijui watakuja kukupora simuNipo deyyer port haya makombora nimeyaona usiku huu wa saa mbili ila sikujua ni wapi yanaelekea na video ipo nilirekodi
Mkuu tusaidie , ni kweli internet imezimwa Iran?Nipo deyyer port haya makombora nimeyaona usiku huu wa saa mbili ila sikujua ni wapi yanaelekea na video ipo nilirekodi
Iran mtandao haujazimwa toka vita inaanza nashangaa humu mnasema mtandao umezimwa .....apps zao iran zinafanya kazi imo inafanya kazi ila whatsap fb twitter na apps nyinginezo ndio hazifanyi kazi kabisaaaaaa
Natumia irancell na nimescreenshot kuonyesha mtandao haujazimwa na hapa iran mitandao ya simu ni miwili tu
Mkuu hali ipoje hapo maana hapa jwa Mtogole tunavyosimuliana ni kama tupo Tehran.Hizi ni apps za iran moja ni ya muvi nyingine ni ya kuangalia mpira na jana tu nimetoka angalia game ya united....mtandao upo haujawahi kuzimwa tupunguze propaganda kwa tusiyoyajua halafu iran wana whatsapp yao wanachat kama kawaida na kuwasiliana daily
Tehran ipo mkoani huko mi nacheza pwani tu asaluyeh port bushehr port na deyyer portMzee upo Tehran nini tupe update moja kwa moja