Sababu kuu za kujitoa USA Afghanistan mbona zipo wazi mkuu, mkuu kwani uliona vita kati USA na Taliban hio 2021😀
Kinacho endelea Iran unakiona lakini au unaangalia kishabiki.
Kwa akili za Trump hii vita mbaya sana kwa Iran, muda unakuja wairan wenyewe wataingia barabarani ni suala la muda tu
Kinachotokea Ukraine ni sababu nyuma yake kuna mataifa yenye nguvu, bila hivyo Ukraine ingekua hoi sana
Israel na USA wakianza kuwabinya raia, usitegemee china na Russia watakua mstari wa mbele kuja kutoa msaada kama Ukraine anavyosaidiwa na washirika wake
IRAN hawezi kushinda hii vita
Unajua maana ya asymmetric warfare?
Mm saingalii hii vita kiushabiki.
Naitazamaa katka angle mbili, Moja kiuchumi, mbili Kijeshi.
Kiuchumi mpaka Sasa Iran ameshinda,
Hivi unajua Gulf Countries Saudia, UAE, Qatar, Kuwait Asilimia 80 ya uchumi wao inategemea Strait of Hormuz ambayo ndiyo ipo hapo Iran, unalijua hilo?
Sasa Iran amefunga Strait of Hormuz, Gulf Countries zimeanza kudhoofika.. hakuna kinacho toka Wala kuingia.. kama unavyo jua hizo Gulf Countries sehem kubwa ni majangwa Kwa hiyo 80% ya bidhaa wanaagiza kutoka nje zinapitia hapo Strait of Hormuz ambayo imefungwa... Saivi no importation or Exportation...
Viwanda vinavyo refine oil hapo Gulf Countries vimefingwa visima vya mafuta vinaungua... Nani mwenye hasara hapo?
Kwa mjibu ya website ya Aljezera inasema Kuwa hizo nchi kwa siku Moja zinapata hasara ya zaidi ya Dollar $1B.. kule Marekani zinapotea zaidi ya Dollar $700M kila siku ya Vita.. hapo unasemaje Iran atashindwa?
Kama vita ikiendelea ndani ya mwezi mmoja tu basi tutegemee hasara economic great depression kwa Dunia mzima siyo gulf countries.
Kijeshi tafuta hichi kitu asymmetric warfare..
Iran siyo superpower lakini ameonyesha ubora ambao wengi hatukutegemea... amemweka uchi USA.
Anyway tuendelee kuangalia hii sinema