Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la chitgar Tehran
 

Attachments

  • 2026-03-06_19-08-17_0.mp4
    922.5 KB
Wale ni wafanya biashara, inawezekana kweli iron dome iliweza kupangua missiles, lakini mostly ni maroketi ya Hamas na Hezbollah.

Kwa balistic za Iran , iron dome inafeli, hata misiles za Houthis...
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora katika jiji la Mashhad
 
There’s only one group that’s clearly winning in this war… the Military Industrial Complex. Here’s my $50 billion theory on why we never have peace, regardless of who’s President.
Hii naamini...
Hao watengeneza silaha wanaingiza trillios za pesa...

Imagine interceptor kama SM-3 inauzwa dola milioni 10 hadi dola milioni 30...

Yaani ukifyatua SM-3 moja, bilioni karibu 80 Tshs zinatembea... na hapo inaweza kukosa target...
Ni sekta inayoingiza pesa sana.
 
Iran hivi sasa wanaweka fake aunchers ambazo ni magari yanabeba mapipa au mabati yanachongwa mfano wa missiles, wanaweka hayo magari sehemu flani kimkakati, ndege za Israel wanaona ni launchers na zina missiles.
Mkuu kwa utaalamu ulionao wa masuala ya kijeshi, hiki ulichoandika ni uongo.
Flighter jets za sasa ziko modernized, zipo powered na AI.
Hey zina mfumo wa kutambua jengo, gari, watu, meli , launcher, n.k kabla ya kupiga jets huwa na signatures zinazoainisha utambuzi wa target inayotaka kupiga. Kama lengo liliwekwa kwenye missile, missile itakua detected kabla ya kupigwa. Haiwezi kupiga pipa kwa kuhisi ni missile.

Niliona mwandishi mmoja wetu wa bongo jana alipost hii habari inayofanana na unachosema. Hii ya kuchora ndege chini. Jets haiwezi kupiga kivuli kwa kudhani ni ndege. Ndege ikiwepo chini palepale kwenye mfumo wake itakuwa detected.
Hii haikua kitu halisi lakini akaruka nayo, nikagundua tuna tatizo la waandishi hapa bongo
 
Mkuu nina maswali kutokana na hizi hoja zako:
  • Iran yeye kwa siku anapata hasara kiasi gani? Au wao hawapati hasara
  • Iran yeye anafanya hizo exportation na importation?
Hasara anayo ipata Iran huwezi linganisha na USA, kudungua Drone ya Iran (Shahed) yenye thamani ya $35,000 - $40,000 inamchukua USA $4m... Zaidi sana Iran hasara inayo pata kuharibiwa miundo mbinu yake kwenye swala la kiuchumi kwa Iran kawaida sana.

 

View: https://x.com/IranIntl_En/status/2029944373358583903

Wairan wenyewe wanashangilia alafu kima wa kwa mtogole anajikuta Mulla
Hakuna serikali inayokosa upinzani.
Ila WANAOSHANGILIA NI WACHACHE KULIKO WANAOUNGA MKONO SERIKALI.
Hivi uliona video aliyoleta Mohammad Marandi ile ya kwenda kuzika watoto waliolipuliwa na ile ya maombolezo ya Khamenei??
Yani ile video ya maombolezo ya Khamenei watu ni wengi mara elfu ya hao.
Najua mnaumia na hamtaki kukubali kuwa Iran mashia ni wengi na ndio hao wanasapoti serikali isianguke.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la mehrab Jimbo la Shiraz
 
Wanakopa kote sijamaanisha kwamba wanakopa Kwa Iran tu ,

Wanakopa kote ila Inatakiwa ufahamu kwamba Katika hizo pesa zinazo ingia katika mzunguko Kwa wananchi na za Iran pia zipo na zinakufikia mpaka wewe ,
Ni kweli mimi natumia za iran tuu, hata mtaala wa shule nilizosoma umetoka iran, nilikua naandik kutoka kulia kuja kushoto, ama hakika iran ndio nchi ya ahadi, alwaa wakbar
 
Kwenye maelezo yangu hapo nimesema camera zinawekwa kwenye hizo missiles zina low resolution na zina thermal camera.

Elewa kwamba kwenye mazingira ya vita uharaka wa kutuma picha ni muhimu kuliko ubora wa picha, picha iapokuwa haina rangi na ina resolution ndogo inasadia mawasiliano yawe na latency nzuri.

Hizo missiles na ndege zinasafiri kwa kasi, inahitajika video za real time zisizokwama, inabidi watumie low resolution, kwenye low resolution tayari huwezi kuona details nyingi.

Kumbuka AI ni AI tu, AI inakosea pia, AI kwenye vita huwezi kuipa kufanya maamuzi pasipo binadamu kuthibitisha, hapo unadanganya. Usifikiri ukiema AI ndio inafanya ukafikiri AI haikosei.


AI inatumia patterns tu kufahamu, AI tena ndo inaweza kuwa tricke kirahisi bora hata binadamu, maana fake launcher ikitengenezwa, ikapakwa rangi na mabati yakachongwa mfumo wa missiles, huwezi kugundua hata siku moja ukiwa juu.

Hivyo acha kuongopa.

Huo mfumo wa kutumia fake launchers , Iran inafanya hata kwenye misiles zao angani, wanatuma missiles 2, zinasindikizwa na decoys 10, decoy inapaa kama kawaida lakini haina kilipuzi, haya sasa tumia hio AI igundue ipi ni halisi ipi ni fake.
 
Unabishana na kobaz bure, picha inajionesha kabisa kuwa edited. Wapuuzie tu hao mkuu, kipigo anachogongwa Iran ni heavy.
 
Ushawahi fika New York au unaongea tu ukiwa buza kwa mpalangeπŸ™‚
Hilo suala nenda kawabishie wamarekani wenyewe ambao walithubutu hata kuunda video na kufananisha mji wao na miji ya China.
New York ina miundombinu ya zamani na mengine inaelekea kufa,hilo walisema US citizens wenyewe.
Sasa nenda kabishane nao sio mimi kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…