Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wewe unatumia brain kuchambua hii vita sio kama mashabiki maandazi kama 100 others na baba mwajuma
 
Mtu Alie Nyikani mkuu kuhusu hasara Iran kutolingana na marekani. Kwa nini ilingane? Hasara anayopata bakhressa inaweza kulingana na muuza juice maandazi kariakoo? Bakhressa kkwa siku anaweza pata hasara mfano milion 100, lakini bado anabaki kuwa bilionea. Muuza maanda zi kariakoo akiwa anapata hasara ya sh.5000 tu huoni yeye kiuchumi ndio atakua hoi?

Mfano wa pili, gharama ya ulinzi/kuzuia wezi nyumbani kwa bakhressa lakini itakua kubwa kuliko gharama ya kuzuia mwizi nyumbani kwa mama Amina.
Haimaanishi bakhressa atafilisika akitumia mamilioni kwa wezi kuweka ulinzi nyumbani kwake, hivyo hivyo haimanishi kuwa mama Amina atakua vizuri kiuchumi akiwa anatumia gharama ndogo za ulinzi nyumbani kwake
 
Mwanangu unayumba, leta updates wewe ndio unaendesha uzi huu, achana na wala nguruwe tupe yanayojiri
 
Haiwezi kuwa hivyo mkuu jets haziwezi kufanya kazi kwa kuongopewa na mchoro wa chini kivuli au kwa kuongopewa na mapipa ikidhani ni missile.
Ingekua rahisi hivyo basi kwenye open areas wangekua wanachora majengo ili jet ipige mchoro wa majengo na si majengo halisi.

Pili, huwezi kuidanganya jet kwa pipa ili idhani ni missile.
 
Aisee unachekesha sana. Yaani wewe ujue hizo mbinu za Iran halafu USA wasijue! Amazing.
Wangekuwa wanazijua wasinge piga picha mabomu wakidhani ni ndege.
Marekani sio mungu ya kwamba anaweza jua kila kitu.
 
Unaongea kitu usichofahamu. Jengo sio movable, kama mtu akifahamu nyumba yako ipo sehemu flani na mtaa flani huwezi fake nyumba nyingine ijulikane ni yako, sababu maeneo ni tofauti. Kama atu wanajua nyumba yako ipo kariakoo huwezi danganya mtu nyumba iliyopo Kigamboni ni yako kisa zimefanana.

Lakini gari yako inaweza kuwa ipo Kigamboni, ikatafutwa gari nyingine same model ikapakwa rangi kama yako, na ikawekwa plate number kama zako. Mtu akiikuta Posta kama anafahamu gari yako atajua ni yako , maana gari inahama.

Hivyo mfan wako kwanini hawa fake majengo ni irrelevant. Unless majengo yangekuwa yanahama wange-fake pia.

Umekazana na mchoro.
Wanaweka lorry halisi kwa nyuma linabeba frame ya missile... bati halina kitu, wewe ukirusha ndege juu ama satellite huwezi fahamu.

Huna hoja kiongozi kutetea point zako.
 
🇮🇷 Iran’s foreign minister pledges revenge for every Iranian parent and child targeted by US & Israel
 

Attachments

  • Screenshot_20260306_200535_Telegram.jpg
    198.2 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…