Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Alafu Kuna jinga mwenzako kukulike kabisaChief..soma kuhusu Tide and Tide.
Kuna wakati bahari inahama na kurudi.hii picha ilipigwa wakati bahari imehama.
kumbe watu wanachukua picha kwa wizi wizi usijeonekana.
Israel wakikuona unachukua picha unauwa hapo hapo..hawataki habari hizi zisambae.
City Thunder OKC aione hii..View attachment 3553855
Makala ya leo CNN
Chanzo niamini Mimi broIRGC wanasema missiles walizotumia hadi sasa ni za miaka ya 2012, 2013 na 2014, Wanasema bado hawajatumia missiles zao za kizazi kipya.
IRGC wanasema watatumia missiles zao za kizazi kipya kwa siku zijazo. Na wanajiandaa kwa vita ya muda mrefu.
Wanasema vitengo vya ubunifu na uzalishaji vinaendelea na kazi kama kawaida.
Alafu ww jamaa acha usenge basi kuwa siliasi.Nukuu za gaidi Ayatollah:
Siku ya kiyama irani itapewa upendeleo wa pekee na alah 😁😁😁
Mkuu mbona mimi nilipinga kitu tofauti? Tulichozungumzia ni gharama anazongia Iran na anazoingia marekaniCity Thunder OKC aione hii..
Economic Strategically Iran ameshinda pakubwa sana
Iran amefunga Strait of Hormuz, ambapo Warabu wanategemea huo mlango kupitisha mafuta yao.. Gulf Countries zimeanza kuonja joto.. hakuna kinacho toka Wala kuingia.. kama unavyo jua hizo Gulf Countries sehem kubwa ya ardhi yao ni jangwa hawalimi, zaidi ya 80% ya vyakula wanaagiza kutoka nje zinapitia hapo Strait of Hormuz ambayo imefungwa... Saivi no importation or Exportation...
Ukiachilia mbali mafuta, pia zimewekeza in Air transportation kutokana na hii vita safari nyingi za Ndege zimesimamishwa .. hasara hiyo inaingia kila siku...
Hii vita ikidumu mwezi tu... Waarabu watatoa milio
Ayatollah Khomeini Mzee wa majigamboKila siku haya maneno,hao viongozi waliowafanyia ujasusi hadi kuwaua hawana majina?
Hii vita hadi ikiisha Israel imechoka vibaya sana.🟡🟢 Hezbollah:
—
Video: Scenes of the Islamic Resistance's operation targeting the Aerospace Industries company in "Tel Aviv", in the center of occupied Palestine.
—
Note:
0:18 - Headquarters of the IAI Aerospace Industries Company
Responsible for the development and manufacturing of:
• All types of aircraft and aerial munitions
• Radar systems and air-control systems
• Satellites
• Electronic warfare equipment
Duh Iran wanjipigia TU sasa