Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ground force mbona anaenda kujichimbia kaburi... Zaidi ya 50% ya eneo la Iran ni milima, mabonde na misitu mwenye audacity Jeshi lake hapa kuivamia Iran, atakua Hana akili vizuri.
 
Hii ina maana Iran ameshakamilisha phase 1, ambayo ilikuwa kuua mfumo wa early warning radars, na sasa anaingia phase nyingine ambayo ni kumaliza interceptor za Israel..

Kumbuka hili linakuja baada ya US kuiomba Ukraine ipeleke wataalamu wa kudungua shahhed drones..

Ina maana Ukraine hawatoenda..
 
Kambi za USA Erbil are no more.
Iraq hizbollah washazifyeka.
Ukiachana na kurdi kukataa vikundi vya uasi vimeomba kujiunga na IRGC yote ni SABABU YA KIDINI.
Nilisisitiza mimi,hakuna kosa baya kama kugusa kiongozi wa kiitikadi wa SHIA.
Kwa itikadi yao ni sawa na kumuua Ally ama Hussein.
 
Yaah hii habari ya kweli na ni makomando wa Hisbolah waliwafanyia ambush wanajeshi wa Kiyahudi kwenye kambi yao iliyo karibu na border ya Lebanon.
Mkuu ungesoma hata statement ya hezbullah ungeelewa kilichotokea. Unamislead watu

IDF walienda kuvamia eneo huko Lebanon, wakitokea uelekeo wa Syria. Baada ya kuingia kwenye vijiji huko wlikua wakenda eneo la makaburi(kutafuta mabaki ya mwenzao ambae aliuwawa miaka ya 1980,s)
Hapo ndio hezbullah wakakutana nao, ikapigwa ambush wakapelekeana sana moto. IDF walikua na support ya jeshi la anga, hivyo likafanya mashambulizi yawe makubwa na kufanikiwa kuwaondoa paratroopers wao walikua chini
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kamandi kuu ya polisi Qassem abad hamedan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kusini mashariki mwa Isfahan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kaskazini mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora makao.makuu vya vikosi vya basij - beheshti
 
Mabaki mtu kazikwa 1980 wanapeleka wapi?
Hao jamaa ka kutunga story za kipuuzi na ujinga hawajambo..
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora makao makuu ya vikosi vya basij - behesht
 
Kuwaondoa au wao ndio ndio waliondoka baada kupata msaada wa wenzao.

View: https://m.youtube.com/watch?v=WWRoPw4LwNk&pp=0gcJCY4Bo7VqN5tD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…