City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Wanachosema mtu wao yoyote akifa nje ya mipaka yao hata ipite miaka 100 watamtafuta alipozikwa na kuchukua mabaki yakeMabaki mtu kazikwa 1980 wanapeleka wapi?
Hao jamaa ka kutunga story za kipuuzi na ujinga hawajambo..
Iran anapigana hii vita kwa akili sana na advantage nikwamba nchi yake ni kubwa hivyo lazima atawasumbua sana.Iran anaanza kumaliza hizo air defenses, maana zinaishiwa interceptors, hapo anazipiga kirahisi. Maana US anashindw apeleke interceptor wapi ISrael ama gulf state... hii itapelekea hizo air defenses batteries kuchomwa zote.
Na jamaa hapoi yaani anawapiga kwa malengo.Nimekubali sana aliposema 'We will act in such a way that the Americans will no longer think about attacking anywhere in the world.'
Trump na Netanyahu walifikiri wanavyoshambulia Iran na kuachwa eti wanaogopwa, upole wa mtu haimaanishi ni udhaifu..
Iran nimewakubali sana, jamaa ni wavumilivu...
Hata mimi nilifahamu Iran hivi sasa anapambana kuifanya US na Israel iogope vita, hii vita ikiisha hutokuja sikia US anapeleka kalio kuchokoa tena Iran.
Habari zako unatolea vyanzo vya pro Israel...Wanachosema mtu wao yoyote akifa nje ya mipaka yao hata ipite miaka 100 watamtafuta alipozikwa na kuchukua mabaki yake
Statement ya hezbullah inathibitisha kweli walikua na lengo hilo ndio maana walisubiri wafike makaburini wawafanyie ambush. Walikua paratroopers wanne, ka isingekua support ya anga basi walikua wameshawawahi. Hezbollah waliweka mtego, lakini vikosi vya anga ndio vilikuja kuwapa support.
Waliokua wakishuhudia wanasema Hezbollah watatu wamefariki, japo hezbullah hawajathibitisha Kama wamepatwa na vifo
View attachment 3554205
Ebu pumzika mzee! We unatoa habari za upande mmoja tu,tumekuchoka unajua! Unazingua!π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la pakdasht
View attachment 3554159
Mkuu Sasa hivi muda huu kuna.mashambulizi makubwa yanaendelea ndani ya Iran, lakini hakuna mashambulizi ndaninya israel. Hapo habari zitakua vipi? Utatoa updates za Israel ikiwa hakuna mashambulizi?Ebu pumzika mzee! We unatoa habari za upande mmoja tu,tumekuchoka unajua! Unazingua!
.mkuu habari gani natoa kutoka kwa pro Israel? Hiko kilichotokea jana hezbullah wenyewe ndio wametoa statement asubuhi hii ya kilichotokeaHabari zako unatolea vyanzo vya pro Israel...
Na mara nyingi humu unabisha hadi mishipa ya shingo inakutoka pale tu ukiona habari inayotolewa ni mbaya kuihusu Israel, lakini habari za Iran kuna watu waandika humu hatuoni ukiwarekebisha kama kuna mental mmoja anaandika quotes za Ayatollah za uongo.. wewe ukijisema ni Pro Israel hakuna tatizo mkuu.. usijitie neutral halafu hutoi habari ambazo ni neutral..
It doesnt make sense , miaka yote walikuwa wapi kuchukua hio miili..π₯π₯π₯π₯
100 others
Walikua wanafukua hapo makaburinya al shukr ndio wakapigwa ambush
View attachment 3554212
Trump ni mfu huyo! Hana mwezi hatunaye! Kama si yeye Netanyau.....nyota zao naona hapa zimefutika.π₯π₯π₯π₯
Trump kuhusu Iran kuomba radhi mashambulizi waliyofanya kwa majirani zake. Pia Trump ameahidi leo Iran itapigwa sana
View attachment 3554188
Sawa myahudi wa keko magurumbasi!Mkuu Sasa hivi muda huu kuna.mashambulizi makubwa yanaendelea ndani ya Iran, lakini hakuna mashambulizi ndaninya israel. Hapo habari zitakua vipi? Utatoa updates za Israel ikiwa hakuna mashambulizi?
100 others walikua wanatafuta mabaki ya huyuπ₯π₯π₯π₯
100 others
Walikua wanafukua hapo makaburinya al shukr ndio wakapigwa ambush
View attachment 3554212
hili shimo jamani tusidanganaye, haileti maana kabisa..π₯π₯π₯π₯
100 others
Walikua wanafukua hapo makaburinya al shukr ndio wakapigwa ambush
View attachment 3554212
Siwezi kuwa myahudi.Sawa myahudi wa keko magurumbasi!
Ila watu wa IranIt doesnt make sense , miaka yote walikuwa wapi kuchukua hio miili..
Hao walikuwa wana tega mabomu ya ardhini na walikuwa wanajiandaa kutega hayo mabomu ya ardhini ili Hezbllah wakipita waya detonate..
Hilo shimo halionekani kama kuna mtu alizikwa 1980s hapo.. wanataka kujitia they are very special kumbe hamna kitu....
Propaganda za Israel za kijinga sana, wanachukua hayo mabaki then what? miaka yote walikuwa wapi?
Msemaji wa IDF muda huu anazungumza. Anasema walienda kufata mabaki ya huyo mtu.hili shimo jamani tusidanganaye, haileti maana kabisa..
Yaani wakati wa vita ndipo wanakwenda kuchukua mabaki ya miili yao? yaani wana risk maisha kisa wanakwenda chukua mabaki ya mtu kafa 1980s π€£ π€£
Nijibiwe kwa hoja, sio kusema watu wa Iran, mimi ni Mtanzania..Ila watu wa Iran
Hio ni propaganda machine..Msemaji wa IDF muda huu anazungumza. Anasema walienda kufata mabaki ya huyo mtu.
Mkuu wao wanajua kwa nini wanataka mabaki yake. Japo operation hiyo imefeli baada ya kupigwa ambush. May be watarudi Tena siku nyingine maana inasemekana hii ni mara ya tatu wanafanya hii operation
πUnafanya kazi kubwa sana mkuu sasa hiv online media wala sifuatilii maana wanachosimulia kule na ubacholeta wewe ni maji na mafuta.