Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Turkish Foreign Minister Hakan Fidan on Iran:β€œWe are against all scenarios that aim to trigger a civil war in Iran. This is the most dangerous scenario, and we warn both the West and the East, everyone, against it. Such a scenario would not only cause the innocent civilian population in Iran to suffer more, but could also lead to the displacement of millions of people and force them to flee as refugees to neighboring countries and beyond.”

Kuna mtu anasema Mossad na CIA ni Wajinga
 
Nchi ina serikali mbili hiyo, raisi hasikilizwi hiyo kweli terror regime kama anavyosema trump
 
The Israeli Air Force is striking Iranian oil infrastructure in Tehran, footage posted to social media shows.It apparently marks the first time since the start of the current war that Israel is striking national infrastructure in Iran.The IDF said a short while ago that it had launched a new wave of strikes on Iranian regime infrastructure in the capital, with further details to be provided later.

Boots on the ground itakuwa ni Wairan wenyewe
 
Ni kweli wanaishambulia iran na wanatamba kwelikweli na kujigamba lakini Israel wamezuia habari za mashambulizi kwa upande wao zisitangazwe,,zinabanwa kwelikweli.Mpaka kunatangazwa hali ya hatari ujue mambo si mambo.
 
Mkuu hskuns kiumbe kinachofurahi kifo usitutanie na ndio maana wakati mtangazaji wa TV ya taifa wa UmIran alikuwa analia wakati anatangaza kifo cha shujaa Ameney.
We ulishaelewa maana wanayomaanisha wakisema martyred, tafuta habari kutoka vyombo vya habari vya Iran, then utaelewa.
Martyrdom ina maana ya shahid..
 
We ulishaelewa maana wanayomaanisha wakisema martyred, tafuta habari kutoka vyombo vya habari vya Iran, then utaelewa.
Martyrdom ina maana ya shahid..
Sa wanaomboleza kitu gani badala ya kusherehekea?
 
Dalili ya kuishiwa hoja.
Wacha nikupe jibu.
Iran bado ipo imara na wamechagua kiongozi mpya na vita inaendelea.
Endelea kuleta mipasho kama Fatuma Nyoro.
Serikali inayoshindwa kumlinda kiongozi wake mkuu Haina uimara wowote
Ayatollah ameharibu Iran Kwa chuki na itikadi zake za ovyo

Mipasho alikuwa nayo Ayatollah Khomeini kilichompata hata huko kuzimu anahadithia

Serikali ya Iran imezidiwa Hadi na wadudu wanaolinda Malkia wao Kwa gharama yoyote

UMsikilizeni Dr Sule achaneni mashekh wasio na Elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…