Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kuna mtu humu alisema internet imezimwa Iran akashambuliwa sana
View attachment 3554584
Hamkumuelewa, jamaa alisema internet ya ndani ya Iran inafanya kazi, lakini hakuna access za apps kutoka nje kama x, facebook, whatsapp n.k...
Akasema internet imekatwa kwa huduma nyingi za nje, lakini Iran wanawsiliana kama kawaida na hata wanatuma picha, wana aina yao ya whatsapp.
 
Kuna internet blackout kwa siku 8bsasa hivi Iran hao ni Al Jazeera sasa tuwaamini AJ au some random guy claim to be in Iran?
 
🚨☠️ Trump blames Iran for bombing its own school

Asked whether the US had bombed a girls’ elementary school in southern Iran, killing 168 girls, Demented Donald lied that Iran did it to itself.

💬 “In my opinion, based on what I’ve seen, that was done by Iran,” Trump declared.

💬 "But the only side that targets civilians is Iran," Secretary of Warcrimes Pete Hegseth gloated doubling down.
 

Attachments

  • VID_20260308_004302_394.mp4
    1 MB
Ina maana hukumbuki hata kama mwanzo wavita mlituonyesha chanzo Cha maji kule kwao kilipigwa na kombola la Iran na mkatuonesha kabsa na maji yalivyofurika mtaan pia hamkumbuki ha Jana TU Iran imeshambulia eneo la uzalishaji mafuta kule UAE mpaka wamesitisha uzalishaji niliwahi SEMA humu kama ni hujuma USA na Israel ni baba wa hujuma na bado Hilo la Bomu mtawanyo nalo linakuja kujibiwa. hatutoamini Hawa jamaa Kuna slaha Yao Moja matata hivi waliitumia kwa sadamu baada ya kuona wanajeshi wa sadamu wanawashambulia kutokea majumbani mwa watu na wakijibu yanatokea mauaji ya raia wa kawaida wakawa wanatumia Moja silaha Yao hivi ikipiga hapo sehemu ule moto wake unaunguza mpaka mifupa inakuwa jivu hapo ndo nikaona hao jamaa ni wahuni kuzidi. hiyo ya cluster Bomu mtawanyo waliitumia gulf war ile nahisi ilikuwa miaka 1990 huko
 
Kuna mtu humu alisema internet imezimwa Iran akashambuliwa sana
View attachment 3554584
Ila jamaa wagumu nyie kuelewa, jamaa wa watu kaelezea vizuri kinachoendelea huko, internet imeminywa huwezi access site za kimataifa kama FB, insta, twitter etc. ila local sites na baadhi ya site zilizochaguliwa unaweza akatoa mifano na Hadi ushahidi Imo inafanya KAZI, kuna app za movie na Hadi kustream mpira ameangalia.
 
Kuna internet blackout kwa siku 8bsasa hivi Iran hao ni Al Jazeera sasa tuwaamini AJ au some random guy claim to be in Iran?
Iran walitengeneza kitu wanaita National Information Network (NIN).
Ni kama domestic internet, lakini wamekata hio global internet..
Wanaendelea kutumia chat apps za Iran, government websites n.k... picha wanatuma n.k

Iran wana level tatu za Internet.
Wana global internet.
Wana National internet , hii inafanya kazi ndani ya Iran.
Wana government internet.

Labda nikupe mfano, unaporusha file la picha ama video kutoka simu moja kwenda nyingine kwa kutumia Xender hio tayari ni local network, maana xender inatumia wi-fi...

Hivyo Iran wana servers ndani ya nchi yao inawawezesha na matumizi ya internet katika national level not global... kuna wanaojitahidi ku bypass kwa VPN, proxy n.k ...

Hili nimeigia sites za Iran wameandika kwa KiPersia mwenyewe nimesoma nika translate kwa google, ni kweli jamaa alichosema.
 
AJ wanasema kuna internet blackout siju nane sasa. Ila unataka tukuamini wewe ambae uko in the middle of nowhere!
Tunachosema kuna internet blackout according to credible media sio mtu anaedai yuko Iran au mchambuzi alieko kusikojulikana.
 
Sawa.
 
Iran haikulenga vyanzo vya maji ya kunywa.

Iran cluster missiles zake ni advanced.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…