Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Trump administration is filled with fools and clowns
 
AJ wanasema kuna internet blackout siju nane sasa. Ila unataka tukuamini wewe ambae uko in the middle of nowhere!
Tunachosema kuna internet blackout according to credible media sio mtu anaedai yuko Iran au mchambuzi alieko kusikojulikana.
Wanachosema Al Jazeera hakikinzani na alichosema Ze dudu tatizo lenu vichwa vyenu Tu vigumu kuelewa.


Hio Al-Jazeera, hakuna claim internet imezimwa na ikizimwa huwezi connect na VPN, mpaka ukiona watu wanaambiwa waitumie VPN ujue internet ipo ila sites zimefungiwa. So ukitaka kuangalia movies, mpira etc angalia, ukitaka kuchat baadhi ya Apps Ila mostly vitu visivyojulikana vimefungiwa, especially now watu wanaweza wasiliana na waasi, kulishwa propaganda etc
 
Eeh mkuu mbona umekuwa mkali tena πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Huwa simung'unyi maneno nikiwa sikuelewi naku ignore faster Tu, kuna watu ni wajinga, post zao ni "low effort" sababu wao ni wajinga wanataka na wenzao nao Wawe wajinga kama wao, so unapojichanganya nao mda mrefu hata uwezo wako wa kufikiri unashuka, JF wakatuwekea kitufe cha ignore, special kwa ajili ya watu hao.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯.
Trump: sitaki wakurdi waingie vitani iran
Aisee nimeamini Trump ni muongo na hii vita anaiendesha kwa propaganda..

Kila mmoja alijionea hapa kwamba Kurds wamekataa hio vita.. sasa anasema yeye ndiye hataki , wakati wamewabembeleza kurds wamekataa.. 🀣 🀣
 
Aisee nimeamini Trump ni muongo na hii vita anaiendesha kwa propaganda..

Kila mmoja alijionea hapa kwamba Kurds wamekataa hio vita.. sasa anasema yeye ndiye hataki , wakati wamewabembeleza kurds wamekataa.. 🀣 🀣
Ngoja tusubiri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…