Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Nashangaa mpaka sasa Iran inaziangalia hizo Site tu , ningekuwa Mimi mshika kitufe naachia missiles kama buku kuelekea maeneo hayoPiga Dimona
Piga miundo ya kusafishia maji chumvi
Piga High tech industrial Zone
Piga Knesset
Piga Oil refineries
Piga magorofa ya walowezi ktk ardhi za wapalestina
Piga TV na redio station za wazayuni.
Piga na bomoabomoa bandari
Zayuni lazima aombe po
ndipo wanaelekea huko, leo tutasikia...Nashangaa mpaka sasa Iran inaziangalia hizo Site tu , ningekuwa Mimi mshika kitufe naachia missiles kama buku kuelekea maeneo hayo
Kwamba mnategemea mfanyabiashara china atoe Hela za Bure IranKwamba vita itachukua miaka!?..hapo vikiisha china anatoa hela,mitambo inasimikwa,moto mchibuyu
Wanaelekea na launcher zipi walizobaki nazondipo wanaelekea huko, leo tutasikia...
Zimebaki ngapi ?Wanaelekea na launcher zipi walizobaki nazo
Zimebaki za kuotea tu
Hawana huu uwezo muwe mnaelewa basiNashangaa mpaka sasa Iran inaziangalia hizo Site tu , ningekuwa Mimi mshika kitufe naachia missiles kama buku kuelekea maeneo hayo
Angalia idadi ya makombora wanayorusha Kwa siku utaelewa zimebaki ngapiZimebaki ngapi ?
Angalia idadi ya makombora wanayorusha Kwa siku utaelewa zimebakiZimebaki ngapi ?
Inabidi Wairan wakulipe uko vizuri kwenye propagandaHAdi sasa kwenye hii vita Iran ndiye anaendelea kufanikisha malengo yake.
Regime change imefeli.
Kuharibu mpango wa nuclear umefeli pia.
KUipunguza Iran kumiliki missiles imefeli.
Kupiga oil depot na miundo mbinu ya mafuta ndio ilikuwa target waliyobakiza na waliamini ndio kama K.O, maana underground missiles wamezunguka wakaona wanapoteza muda, kila siku Israel inakula chuma.
Sasa inaonekana wazi oil depot si target itakayoifanya Iran kusimama vita, Iran inakwenda phase nyingine, sasa ni kupiga miundo mbinu ya kiraia nchini Israel wazayuni waanze kuishi kama Mazombie.
Tuliambiwa Israel kaishiwa interceptors sasa anga liko wazi.
Na alikuwa anatumia ndege ya wamerican na eti ana jeshi bora, na vipi mbona hilo jeshi saivi halijatoa challenge
Jalil zandi.
Rubani wa ndege aina ya F-14 Tomcat kutoka jeshi la anga la Iran, alivunja rekodi katika historia duniani kwa kulenga na kuangusha ndege 11 za Iraq katika vita ya Iran-Iraq.
Ndie rubani aliyepata alama za juu zaidi katika vita ya air to air akitumia F-14 Tomcat.
Ndiye rubani aliyefanikiwa zaidi katika kuitumia F-14 Tomcat kufanya mashambulizi ya air to air akitumia F-14.
F-14 Tomcat inaonekana kwenye filamu ya top gun maverick ya Tom Cruise. iki defeat 5th generation fighter jet.
Iran walikuwa na jeshi bora kabisa la anga, watu wanasema Israel wana air force nzuri, basi hawakupata kusoma kuhusu IRIAF.
Sijaelewa.Angalia idadi ya makombora wanayorusha Kwa siku utaelewa zimebaki ngapi
Ayatola ameharibu nini wao wana utamaduni wao,sio lazima wafate wa kimagharibiKwamba mnategemea mfanyabiashara china atoe Hela za Bure Iran
Ayatolloh ameharibu nchi ya uajemi Kwa chuki yake dhidi ya Israel
Hakuna wa kuwasaidia
Launcher zinaishaje hali ya kuwa ni ma lorry yamebeba vyuma, hivi unaelewa launcher kiongozi.. au umekariri..Wanaelekea na launcher zipi walizobaki nazo
Zimebaki za kuotea tu
Fuatilia uajemi kabla ya Ayatollah utaelewaAyatola ameharibu nini wao wana utamaduni wao,sio lazima wafate wa kimagharibi
Kwani kinacho kushangaza kipi hapo..Na alikuwa anatumia ndege ya wamerican na eti ana jeshi bora, na vipi mbona hilo jeshi saivi halijatoa challenge
Iran maisha yalikuwa rahisi pamoja na vikwazo, maisha rahisi kuliko TanzaniaFuatilia uajemi kabla ya Ayatollah utaelewa