Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel imeshambulia kwa makombora kambi ya jeshi eneo la bid kaneh. mlipuko mkubwa
 
Iran nimeipenda strategy yake yeye kaona israel na USA nitasumbuana nao zaidi nikijikita kwao... Anachofanya yeye ni kupiga ndugu, jamaa, watoto wa kambo, na majirani uchwara wa Usa na israel.

Naimani hapa kutatokea mtifuano mkubwa sana kati ya Baba na wanawe, maana Baba anampiga ngumi adui yake....adui yake anaenda kupiga ngumi nzito watoto wa Baba.
 
💥💥💥💥
Waziri wa ulinzi wa Iran ameuwawa
Taarifa ambayo bado haijathibitishwa kwa asilimia 100.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Natabiri baada ya siku kadhaa za Mapigano upande mmoja utaomba usitishwaji wa mapigano baada ya kupata kile ambacho hawakukitarajia
Na Kwa Iran Hawana chakupoteza.
Hawa wengine Wiki moja kila kitu kifungwe utasikia milio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…