Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Napata mashaka hao walengaji walioko kwenye kitengo cha kupiga missiles wana agenda ipi, wachunguzwe isije kuwa ni mapandikizi.. maana inatia mashaka na maswali. Hadi sasa hakukupaswa kuwe na airport yeyote ama bandari inayofanya kazi Israel


Iran inaacha kupiga Dimona, inaacha kupiga airports zote za Israel zisifanye kazi, inaacha kupiga bunge la Israel, makao makuu, vituo vya polisi.. ofisi za serikali, vituo vya polisi... ,wanashindwa kuzitafuta aircraft carrier za US popote zilipo wazitumie mamia ya drones na missiles mpaka zikimbie na kupotea na kuzidiwa...

Kuna ujinga flani wanafanya.

Waache ku focus na hao waarabu wa gulf states, rais alikuwa sahihi, waache ujinga huo.
 
βœ… US Secretary of State Rubio: Our main enemy is the Twelfth Imam

πŸ”ΉWe are fighting Iran because they believe the Twelfth Imam "Mahdi" must be returned; this war is not political, it is the war of the apocalypse.

Halafu kuna wakristo bado wanasupport hawa jamaa, wazi wazi wanakiri kuwa wao ni Anti Christ na wanaandaa ujio wake.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora maeneo ya polisi isfahan
 

View: https://x.com/joncovering/status/2030335522627846354?s=61
 
Kana ndio uwezo mdogo wafanyaje? By the way naona akili zinaanza kukurudi ushaanza kujua kuwa Iran kashatepeta.
 
#NewzFeed Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, ametoa tahadhari nzito kuhusu hatma ya sekta ya nishati nchini humo, akibainisha kuwa kuendelea kwa mivutano ya kivita kunatishia kuifuta Iran kwenye ramani ya wazalishaji wa mafuta duniani.

Ghalibaf ameeleza kuwa hali ya usalama katika ukanda huo imefika hatua ya hatari ambayo inaweza kupooza kabisa uti wa mgongo wa uchumi wa taifa hilo.

"Vita hivi vikiendelea kwa mtindo huu, hakutabaki njia yoyote ya kuuzia mafuta, wala uwezo wa kuyazalisha," alisema Ghalibaf.
 
Na hawa wa imani moja je
 

Attachments

  • Screenshot_20260308-134456_Lite.jpg
    127 KB · Views: 17
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kambi ya jeshi shahr e Shahin
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo lililo na vikosi vya jeshi karibu na amirie mosque Isfahan
 
UAE kashambulia Iran. Tutarajie nini huko jamani!?
Hao madogo wanaorusha missiles ni was3ng3...
Kulikuwa hakuna haja kupiga mitambo ya kusafisha maji chumvi ya UAE, rais aliwaambia kabisa inatosha kulenga gulf states, lakini walivyo wapuuzi wameendelea na sasa UAE haina budi bali kujibu.

Iran kuiharibu UAE haina faida yeyote kwake...

UAE inaweza ikaharibiwa ndani ya siku 4 tokana na jinsi imejengwa...

Hao madogo was3ng3 watolewe hapo kitengo cha kurusha missiles..

Wakamatwe wapigwe lock up...


AU ni Israel wamefanya mashambulizi ili kuiingiza Iran vitani na majirani? maana Israel inazidiwa na Hezbollah kule.. Dah kama ni Iran wamezingua sana...
 
US na Israel kushambulia police station ni kuandaa maandalizi ya maandamano ambapo kutaksekana vyombo vya uslama kutuliza ghasia , lakini kibaya ni mission ambayo imesha feli hadi sasa, nashangaa bado wanalenga police stations.
Hilo walishalisema kuwa wanashambulia Polisi Stations ili kuwapa njia waandamanaji,jana tuu mkuu wa Polisi wa Tehran kauliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…