Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Iran imeshanbulia kwa makombora eneo la bbei brak Israel
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Iran imeshanbulia kwa makombora eneo la bbei brak israel
 
Safari hii mpaka mmalize visingizio vyote kipigo kiko palepale!!!!!!!
 
Nimerudi Tena kushusha nukuu za imamu wetu mtukufu gaidi Ayatollah khamenei 😁
 
Unajitahidi kuongea fact endelea mkuu
 
Regime change ni impossible
Hata tulipokuambia Gaidi Ayatolla Ali Khamenei Artie maji hizo ndevu ilisema is impossible wana wa Israel wakaamua kumnyoa kavu!!!
 

Attachments

  • IMG_5070.jpeg
    105.7 KB · Views: 29
  • IMG_5073.jpeg
    173.9 KB · Views: 24
  • IMG_4969.jpeg
    143.9 KB · Views: 18
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Iran imeshanbulia kwa makombora Tel Aviv. Mkuu 100 others King faisal ITR Hawa watu ambao wanarecord matukio hivi wazi sehemu iliyopigwa, ndio mnasemaga wamekatazwa kurecord?
View attachment 3554923
Mkuu unabishana na Waandishi wa habari ambao walikuwa Israel?
Israel imepigwa imechakaa, 12 days war ile ilikuwa ni trailer, Israel inamalizwa vibaya, hadi Israel kuamua kupiga oil depot fahamu Israel imezidiwa na kukata tamaa...

Tanzania bangi ni marufuku lakini mbona watu wanavuta... unafikiri wakikatazwa kuna ambao wataelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…