Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Ukweli Iran kallemewa pamoja na kwamba machawa wake wanamsaidia kusema uongo!!Humu Kuna watu wananisikitisha sana. Huyu hapa anarecord kabisa. Lakini watu wanakwambia watu Israel hawaruhusiwi kurecord
View attachment 3554926
Sehemu anbayo imechakaa na watu wamekatazwa kurecord matukio, wawe na simu busy na simu hivi??Mkuu unabishana na Waandishi wa habari ambao walikuwa Israel?
Israel imepigwa imechakaa, 12 days war ile ilikuwa ni trailer, Israel inamalizwa vibaya, hadi Israel kuamua kupiga oil depot fahamu Israel imezidiwa na kukata tamaa...
Tanzania bangi ni marufuku lakini mbona watu wanavuta... unafikiri wakikatazwa kuna ambao wataelewa?
Hii post mbona umeandika ukafuta, ulitaka u post kule MMU mkuu? au umechanganya na ID nyingine..Nukuu za gaidi Ayatollah khamenei
Dunia haitaki sisi tumiliki nuclear na tumewaambia ni kwa matumizi ya kijamii tu Ila mazayuni wanavichwa 100 Hadi 300 vya nuclear mnataka wazayuni watuangamize?😁
Vita haina machoUS na Israel kushambulia police station ni kuandaa maandalizi ya maandamano ambapo kutaksekana vyombo vya uslama kutuliza ghasia , lakini kibaya ni mission ambayo imesha feli hadi sasa, nashangaa bado wanalenga police stations.
Safari mnapiga mpaka visingizio vyote viishe!!Mkuu unabishana na Waandishi wa habari ambao walikuwa Israel?
Israel imepigwa imechakaa, 12 days war ile ilikuwa ni trailer, Israel inamalizwa vibaya, hadi Israel kuamua kupiga oil depot fahamu Israel imezidiwa na kukata tamaa...
Tanzania bangi ni marufuku lakini mbona watu wanavuta... unafikiri wakikatazwa kuna ambao wataelewa?
Sawa mkuu. Misiba ya watu wakuu wa Irani waliouwawa. 1. Ayatola, 2. Mkuu wa majeshi, 3. Waziri wa ulinzi. 4..... SASA tutajie mtu maarufu aliyekufa hapo Israeli ili tujue kuwa Israel ipo na hali mbaya.Hadi sasa waliopoteza ni US na Israel si Iran, lakini kuna mistake Iran inafanya lazima niseme ukweli, mimi siongei kwa mahaba kama ninyi, nazungumza ukweli.
Israel ipo kwenye hali mbaya.