Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Kmmk 🤣Sasa hivi wameanza kurusha makombora mapya,linaonesha linaenda ubungo,ving'ora vinalia ubungo,linabadili uelekeo linatua kigamboni
Nitanie kwa lipi somen vitab mtagundua kuwa wale watu n wajingaWee jamaa hivi hizi nukuu za kweli au unatania
Hivi unawajua Masenate hawa hawana elimu za kuungaunga, pili wengi wao ni matajiri, wana ufahamu mkubwa kuliko wewe.Hata senate Kuna wajinga pia
Trump ameelezea wazi wazi objective ya vita
Ushapata mume,mshangazi?Aslaimik ndugu waislam wenzangu
asanten nimefturu nimekunywa uji wa tende na ukwaju nimeanza kunyamba
.
najiandaa kuwaletea nukuu za imamu mtukufu gaidi Ayatollah khamenei 😤
Kwamba unaweza kurusha missile katikati ya watu? Umewahi hata kuona missile ikiruka?Kumbe zile mbinu za Hezbollah na Hamas kufanya mashambulizi wakiwa wamejificha maeneo ya raia walifundishwa na Baba yao Iran maana Iran nae kaanza kuweka launchers maeneo ya raia.
Iran alipiga mkwara zitapita meli za china tuJUST IN
A LARGE tanker has just SAFELY made its way through the Strait of Hormuz as the United States begins to take control of the passage as Iran Navy continues to face further decimation with over 40 war ships being destroyed.
Haya meli za mafuta zishaanza kupita strait of hormuz kwa ulinzi wa Navy
Hiyo ndiyo demokrasia anayoitaka Marekani. Yaani yeye ndiyé top wa kutafsiri nini maana ya demokrasia. Inashangaza kweli.US President Donald Trump said Iran’s next supreme leader will not “last long” without the approval of the United States.
Speaking as Iran prepares to appoint a successor to Ali Khamenei, Trump said Washington wants to ensure the situation does not lead to another nuclear threat in the future.
Kuna US Marine Scott Ritter aliye pigana vita ya Iraq,ambaye yeye kitengo chake kilikuwa cha upelelezi na kukusanya Intelegensia.Hii vita ni sawa na mashindano yaa mbio ndefu. Anaeanza mbio ndefu kwa speed maranyingi hushindwa kumaliza mashindano. I
Iran amejiandaa na mbio ndefu na ndio maana yupo mdogomdogo na Trump na Netanyau walijiandaa na mbio fupu na ndio maana wapo speed sana kutaka kumaliza mchezo mapema bila kujua mpinzani wake amejiandaaje na mashindano. Nimalizie kwa kusema MUDA UTATOA MAJIBU