Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wanapewa wanacho stahili , soon wataanza propaganda zao
Vita hii sidhani kama itachukua muda mrefu. Raia wa nchi za kiarabu sasa hivi wataingia barabarani.
Maana hawataruhusu nchi zao ziharibike kisa Israel na Marekani.
Video zinasambaa hadi facebook zikionesha makombora ya Iran yakitua Israel na maeneo mengine.
Na hapo Iran hajaanza kutumia Hypersonic missiles.
Awamu hii hakifichiki kitu.
 
Kawa kawaida wavaa madera washaanza kulialia soon tutasikia kuwa wanaouliwa ni wanawake na watotoπŸ˜‚πŸ€£
 
Duuh ndio watu wataanza kiandamana but Iran aliwaonya lakini , Huyo jamaa siameweka base zake katika Nchi zenu na Mimi lazima nitazishambulia , walidhani anatania sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…