Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ila mkuu nikuulize tu iran akirusha intercepted ila Israel akirusha milipuko mikubwa sanaa? Kwaio tel aviv vile ilivyo sasa yote intercepted?
Mkuu mbona taarifa za tel Aviv naweka za kutosha tu? Nitakua nakutag mkuu

Iran harushi makombora kila muda. Lakini Israel na marekani wapo juu ya anga ya Iran kila muda

Hapa tunapozungumza Kuna ndege zaidi ya 50 juu ya anga la Iran. Unategemea mashambulizi yatakuaje?
 
Mmmmhh sawaa ila 99% ya milipuko mikubwa from Israel
 
Mkuu huku watu hawatami maneno wanataka vitendo. Sasa kama hizo Iron dome zimekufa siwawauwe kina Netanyahu? Kuna haja ya kutangaza? Mbona maneno yamekuwa mengi sana?
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Trump: Australia mnafanya kosa kubwa kuruhusu wachezaji wa timu ya wanawake wa Iran kurudishwa Iran, ambapo wataishia kuuwawa na serikali. Waziri mkuu usifanye hivyo, wape ukimbizi. Kama hamtafanya hivyo, marekani itawachukua. Ahsante kwa kunisikiliza.
 
Mbona Trump anziambia meli zipite Harmoz bila kutanguliza USS Ford au Lincoln.
Ni kweli Navy ya Iran imefutiliwa mbali na mfereji uko shwari. Maana nimemoma msemaji wa jeshi la Iran anasema anakaribisha meli yoyote ambayo hairuhusiwi kupita hapo ipite.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Sakata la timu ya wanawake ya Iran kwenye michuano huko Australia, hii timu ya wanawake wa Iran iligoma kuimba wimbo wao wa taifa, hivyo Iran ikaona huu ni usaliti. Wanatakiwa kurudi Iran, walipokua njian kwenye gari iliyowabeba kuwapeleka airport baadhibya wachezaji haonwakiwa kwenye bus hilo kupitia dirishani walionyesha ishara ya kuomba msaada, ambapo watu waliokua barabarani waliweza kuelewa kilichokua kinaendelea.

Bado hawajafanikiwa kuondoleaa Australia. Kwa kauli hii ya Trump maana yake wstafanikiwa kubaki Australia au kwenda marekani.
 
Navy ya Iran imefutwa lakini bado watu wanaogopa kupitisha meli.
 
Hazitoboi hizo zitalipuliwa kama za juzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…