City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Inasemekana ?Inasemekana hadi sasa hii vita anayeitawala ni Iran na anasema haiishi mpaka objective zake zitimie.
Inesemekana licha ya Trump hadharani kuongea kijasiri nyuma ya pazia kupitia third part anawaomba Iran wayamalize.
According to pro Iranian sources
Hii picha ni ya tarehe 28.02.2026.
Pole sana mkuuJamaa mwongo sana huyu, bro unatumia source gani mbona hiyo milipuko mikubwa upo kwa Iran tu...adi useme upo biased ndo unaanza kutoa updates za Iran hahahaha mzee wa milikupo mkuubwaaa
umeona sasa hizo ndio kutoka kwa pro Iran wanazoweka kwenye magroup telegram. Huwa Kuna pro Iran mmoja wanamsifia kuchukua habari kwake yupo twitter x, wanasema ni chanzo chao Cha kuaminika ukiacha telegram. nae kaiweka hiyo muda huu nimeangaliaHii picha ni ya tarehe 28.02.2026.
Ila kwa sababu tunachangamsha genge iko sawa.
kwa mujibu wa google picture search inaonyesha hii picha ni ya tarehe 28 siku ya kwanza ya mashambulizi. Tena AI searchumeona sasa hizo ndio kutoka kwa pro Iran wanazoweka kwenye magroup telegram. Huwa Kuna pro Iran mmoja wanamsifia kuchukua habari kwake yupo twitter x, wanasema ni chanzo chao Cha kuaminika ukiacha telegram. nae kaiweka hiyo muda huu nimeangalia
View attachment 3555558
Unachosema ni sahihi kabisa, lakini ndio nakueleza jionee hihlyo habari kutoka kwa pro Iran wa kuaminika kwa habari za uhakika kaweka hiyo habari(ambayo ni ya uongo)kwa mujibu wa google picture search inaonyesha hii picha ni ya tarehe 28 siku ya kwanza ya mashambulizi. Tena AI search
Tumempuuza huyo , mwache aendleee na upupu wakeHii picha ni ya tarehe 28.02.2026.
Ila kwa sababu tunachangamsha genge iko sawa.
Pole ya nn sasa? Mm nimetoa mawazo yanguPole mkuu
Jikaze TU vita sio mchezo
Ayatollah Khomeini amesabisha uajemi kuharibiwa sana
Pro Iran wakiweka fake wanaweka fake kwelikweli. Hiyo inaonyesha kwanza Iran hawana shabaha.Unachosema ni sahihi kabisa, lakini ndio nakueleza jionee hihlyo habari kutoka kwa pro Iran wa kuaminika kwa habari za uhakika kaweka hiyo habari(ambayo ni ya uongo)
Kwenye telegram groups huwa wanamsifia kwa kuandika habari za uhakika za Vita, wanasema yupo Lebanon ni chanzo cha kuaminika lakini wewe sasa jionee ni kweli? Ni pro Iran mkubwa wanayemuamini
Ila hakuna milipuko mikubwa?π₯π₯π₯π₯
Iran imeshambulia kwa makombora Tel Aviv
Akhi niliahidi nitakutag
View attachment 3555548
Uzuri hiyo imewekwa na wenyewe pro Iran. Si hiyo hiyo tu ipo ambayo sikuiweka na yenyewe pia inaonyesha kutolenga shabaha, lakini pro Iran waliwekaPro Iran wakiweka fake wanaweka fake kwelikweli. Hiyo inaonyesha kwanza Iran hawana shabaha.
Namashaka kama unageuza upepo.
Ulimsikia Trump anasema hawana shabaha hata shule iliyopigwa Iran ilipigwa na Wairan wenyewe kwa sababu hawana shabaha.
Ila tujue tu vita hii propaganda ni nyingi ingawa pia maumivu kwa Israel licha ya kufichwa ni makubwa sana.