Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la khorramshahr
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la Bandar abbas
 
Bei ya pipa moja la mafuta ghafi kwa leo ni $ ngapi? Na kabla ya hii vita bei ilikuwa $ ngapi?
Nimeona Aljazeera wanasema Korea kusini wameishiwa gas na iliyobaki ni ya siku 8. Taarifa hii ilikuwa ya juzi.
Nimeona kule Pakistani misururu ya magari na pikipiki kwenye petrol station nyingi. Upungufu mkubwa wa mafuta.
KAma hii vita iran akiweza kukaza kwa angalao mwezi 1. Kuna nchi zitapigwa na mfumuko wa bei ambao haujawahi kionekana kwa miaka mingi.
NAtamani sana Iran ikaze ili tuone haya mataifa yanayojiita tajiri yanavyoadhirika.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Video footage: Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kambi ya jeshi pasdar - khoramabad. Milipuko mikubwa
Kwakweli IRAN anafanywa mlemavu kwenye nyanja ya ulinzi. Raia walishaamgilia ila watakuja kustuka wanagombania maji ya kunywa ya msaada kutoka israel
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Trump: Vita na Iran ni kama vimeshaisha
Anatangaza ushindi Ili ajitoe!!?..tunajua kawaomba Iran sizifaya na wamekataa
Witkof na kushner ilikua waende TelAviv,wameghairi,sijui netanyahu kishalamba mchanga!
 

Attachments

  • Screenshot_2026-03-09-22-34-08-599.jpg
    117 KB · Views: 15
Anatangaza ushindi Ili ajitoe!!?..tunajua kawaomba Iran sizifaya na wamekataa
Witkof na kushner ilikua waende TelAviv,wameghairi,sijui netanyahu kishalamba mchanga!
Amka ndotoni utajikojolea kitandani.
 
Kashindwa au vipi kwanini ajitangaze mwenyewe Mshindi!!!!
 

Attachments

  • IMG_20250423_194025.jpg
    129.2 KB · Views: 9
  • 6046291-f5c907fc27f5c2e7e24c2e2ffafd45c8.jpg
    4.9 KB · Views: 11
  • 1744229745699.png
    74.5 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…