mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Wakufa yupo ila wa kumuuwa bado hayupoHiyo kauli ya mwisho haipaswi kuwa sidhani, Ukweli ni kwamba Iran sio kitu Cha mchezo mkong'oto walio upokea USA na Israel sio wa sayari hii Kila mtu kajionea ambaye anaye fuatilia hii vita Kwa kina Hali inatisha , netanyahu anapaswa kuuwawa ana wapa shida sana raia wa Nchi yake
Mashabiki mbumbumbu mpo wengi sana,hivi hamuwezi kutumia hata theluthi ya akili yenu kuweza japo kuchanganua source ya hii vita?Hiyo kauli ya mwisho haipaswi kuwa sidhani, Ukweli ni kwamba Iran sio kitu Cha mchezo mkong'oto walio upokea USA na Israel sio wa sayari hii Kila mtu kajionea ambaye anaye fuatilia hii vita Kwa kina Hali inatisha , netanyahu anapaswa kuuwawa ana wapa shida sana raia wa Nchi yake
KIla mtu anajiandikia tu.Ile kasi ya mashambulizi ya marekani na Israel dhidi ya iran imepungua kabisaa
IRAN Wanataka kuwauwa Viongozi wa Israel kuna kazi kubwa inafanyika ya kijasusi ndani ya Israel
Labda siyo mtoa rohoIRAN Wanataka kuwauwa Viongozi wa Israel kuna kazi kubwa inafanyika ya kijasusi ndani ya Israel
ndiomana Waisrael wanatoa Cctv Cameras mitaan
hali tete sana nilisema mnufaika wa kwanza wa Vita yasasa ni Russia
vikwazo vitaondoshwa vyote ndio mwenye uwezo wa kuongea na IRAN kwasasa,
Russia pia kisiasa na kimkakati hawataki Israel idondoke kwasasa!!!
sivo Israel inaenda kuanguka ndani ya 2week tu.
Nimekaaa pale na mwajuma wangu.
🤣🤣🤣 hivi nyie watu uongo siyo dhambi kwenye imani yenu?Kiufupi Viongozi wengi wa Israel wameuwawa na wanaendelea kusakwa kijasusi.
Hezbollah wanausika ktk kuwasaka Viongozi wa Israel na kuwauwa ndani ya Israel kupitia Drone zao za kisasa!!!
Unaleta mahaba kwenye fact !? Lengo la USA na Israel nikufanya regime of change na sio kumuua Ayatollah tu , wao walitaraji baada ya kumuua Ayatollah Nchi na viongozi watafikwa na devide then wao USA na Israel waje ku- rule Nchi ingefikwa na devide ingekuwa ni rahisi Kwa Raia kuandamana na kufanya mapinduzi lakini imekuwa tofauti na walicho tarqji ndio kwanza wamepewa mkong'oto Israel imegeuka kuwa Gaza Hali Ina tisha USA na Israel wamefikwa na aibu kubwa sanaWakufa yupo ila wa kumuuwa bado hayupo
Kujifariji pia ni sehemu ya kuifanya moyo uchangamke!
Hii vita USA akisema amalize leo, tukumbuke Ayatollah na timu yake wote hawako, Je, bado hajatimiza lengo lake?
Mashabiki mbumbumbu mpo wengi sana,hivi hamuwezi kutumia hata theluthi ya akili yenu kuweza japo kuchanganua source ya hii vita?
Trump anadai wamekimaliza kikosi chote cha Navy,ila bado wanaogopa kupitisha meli, hapo ndipo ujue propaganda nyingi sana. Yaani uwamalize Navy wote ,ila still unaogopa kupitisha meli.President Donald Trump has threatened to strike Iran “twenty times harder,” making it virtually impossible for the country to “ever be built back,” if it continues to block the strategic Strait of Hormuz in retaliation for the US-Israeli strikes.
At the same time, Trump has claimed that he expects the US-Israeli war with Iran to be over “very soon” – but not this week – after allegedly hitting over 5,000 targets and significantly degrading Tehran’s naval and missile capabilities.
====
Super power anazuiwa kupitisha mzigo strait of Hormuz! Na anaanza kulalamika.
Wewe ni liongo liongo.Trump anadai wamekimaliza kikosi chote cha Navy,ila bado wanaogopa kupitisha meli, hapo ndipo ujue propaganda nyingi sana. Yaani uwamalize Navy wote ,ila still unaogopa kupitisha meli.