Hili sakata Putin linamnufaisha sana.Trump spoke to Putin - then said sanctions on some countries could be lifted
Donald Trump said the US was considering easing some oil sanctions to combat rising prices.
10:57
BBC Home | Breaking News, World News, US News, Sports, Business, Innovation, Climate, Culture, Travel, Video & Audio
Visit BBC for trusted reporting on the latest world and US news, sports, business, climate, innovation, culture and much morewww.bbc.com
Trump speech za karibuni kuhusu vita anazungumza kwa confidence ya chini tofauti na alivyoanza , huku wakina Tucker Carlson wanaendeleza spana zao mitandaoni kuhusu vita hii wakimpinga Rais waoNaona Trump mdogo mdogo anajiandalia upenyo wa kuchomoka kwenye vita π€£.
Halafu, Israel inaficha nini? Kwa nini hawaruhusu watu kupiga picha yanayoendelea ndani ya Tel Aviv na kwingineko?
Inasemekana huko Israel ukikamatwa unapiga picha madhara ya makombora ya Iran na kuyarusha kwenye mitandao, adhabu yake ni jela!
Hivi, kam kweli hiyo iron dome ingekuwa ni mfumo kabambe wa kutungua makombora, si Israel ingetaka kuonyesha umahiri wa huo mfumo?
Kuna jamboβ¦..
Trump na Netanyahu watajitangazia ushindi halafu watajichomoa kwenye vita baada ya kuona labda mambo yamekuwa magumu kuliko walivyotarajia.
Ila mimi nahisi madhara ndani ya Israel ni makubwa na Israel inaona haya yakijulikana.
Halafu, sidhani kama Israel inaweza kupambana yenyewe tu bila msaada wa Marekani.
Chambuzi kutoka Mbagala kwa mbikoKiufupi Viongozi wengi wa Israel wameuwawa na wanaendelea kusakwa kijasusi.
Hezbollah wanausika ktk kuwasaka Viongozi wa Israel na kuwauwa ndani ya Israel kupitia Drone zao za kisasa!!!
Siwamesha Ona mtu amejaa ktika mfumo π€£Hichi kiburi iran inakitoa wapiView attachment 3555826
Kila siku USA anabadilisha malengo ya Vita jana ukimsikiliza Marco Rubio akiongea kwa unyonge na panic kuhusu malengo ya Vita hiyo U-turn aliyopoga utacheka na kumuona huruma πUnaleta mahaba kwenye fact !? Lengo la USA na Israel nikufanya regime of change na sio kumuua Ayatollah tu , wao walitaraji baada ya kumuua Ayatollah Nchi na viongozi watafikwa na devide then wao USA na Israel waje ku- rule Nchi ingefikwa na devide ingekuwa ni rahisi Kwa Raia kuandamana na kufanya mapinduzi lakini imekuwa tofauti na walicho tarqji ndio kwanza wamepewa mkong'oto Israel imegeuka kuwa Gaza Hali Ina tisha USA na Israel wamefikwa na aibu kubwa sana
Kwanini hawataki Hilo tokee ( Russia)IRAN Wanataka kuwauwa Viongozi wa Israel kuna kazi kubwa inafanyika ya kijasusi ndani ya Israel
ndiomana Waisrael wanatoa Cctv Cameras mitaan
hali tete sana nilisema mnufaika wa kwanza wa Vita yasasa ni Russia
vikwazo vitaondoshwa vyote ndio mwenye uwezo wa kuongea na IRAN kwasasa,
Russia pia kisiasa na kimkakati hawataki Israel idondoke kwasasa!!!
sivo Israel inaenda kuanguka ndani ya 2week tu.
Nimekaaa pale na mwajuma wangu.
Kasemaje!? π€£π€£Kila siku USA anabadilisha malengo ya Vita jana ukimsikiliza Marco Rubio akiongea kwa unyonge na panic kuhusu malengo ya Vita hiyo U-turn aliyopoga utacheka na kumuona huruma π
Weka source.Wewe ni liongo liongo.
Kuna meri tatu zimeshapita hapo hormuz zikiwa escorted na jeshi la Marekani.
Kicheko na huruma ilizidi nikashindwa kuangalia mwanzo mwisho .Kasemaje!? π€£π€£
We unaona rate za casualties sharing kwenye media zinaongezeka au kupungua?Mkuu umeelewa nilichosema hapo?
Unazuia watu wasifanye hivyo, watakusikiliza? Mbona bado wanashare kinachoendeea? Hilo katazao litafanya kazi kea media tu lakini sio kwa watu(iindividuals)
Iran imezima kabisa internet, mbona bado watu wanashare kinachiet?
Serikali haziwezi tena kucontrol social media
Jf imepigwa marufuku Tanzania, lakini Mimi na wewe mbona bado tunaitumia?
Awon oloriburuku Gbo Gbo.Weka source.
Meri β = Meli β
Kama uwezo wa kuandika mambo madogo ya kiswahili shule huna kichwani je , utaweza kudadavua mambo makubwa ya geopolitics and war ?