Mbona wanasema Israel na Marekani wanahali ngumu sana๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Video footage: Hafla ya kumuaga kanali Majid kashefi ambae alikua assassinated(ameuwawa) kaa gari lake kushambuliwa na drone. Story kamili nitaiweka hapo chini
Anasema ni nani?Mbona wanasema Israel na Marekani wanahali ngumu sana
Kaka upo huko iran au ?๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo kambi za jeshi eneo la kusini magharibi mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
limjaa linaongea hata likiwa kwenye barafu tumeaminishwa hivyo mpaka Kuna member kaambulia ban๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Netanyahu: tunafanya Vita vya kihistoria kupigania Uhuru wa wairan
msitudanfanye vita Haina matokeo sawa yaani Haina sare hasa wakati Bado show inaendeleaHii vita wote wanaumia sio Iran wala sio Israel.Hata Iran inaumia sana tu na inabondwa haswa.
Ila point kuu ni nani atakayehimili hii vita kwa muda mrefu!??
Hapo ndio pachungu.
Haaahaa ila huyu mzee anapenda vita jaman loooh!๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Netanyahu: viongozi na washirika wao wanakimbia, lakini hawana pa kujificha(tutawapata)
Marekani ajitoe halafu Israel aendelee kujipigia mkuu acha ushabikiHuu ni mtazamo wangu.
Marekani inavyoonesha hana shida sana na regime change mwenye shida na regime change ni Israel hasa Netanyahu aka Bibi.
Ni muda mrefu Bibi amekuwa akiitafuta hii nafasi ya kuivamia Iran ila kiukweli peke yake asingeweza mziki wa kuyazuia makombora ya Iran maana maafa yangekuwa makubwa sana huko Israel.
Kilochotekea wakati huu ni kwamba Marekan kashiriki hivyo wameweza kuharibu miundombinu na kupunguza uwezo wa kijeshi wa Iran ikiwemo kuzalisha makombora ambayo ndio tishio kumbwa kwa Israel hasa makombora ya masafa marefu.
Pia ni wameweza kuteka anga la Iran wanaweza kufanya wanachotoka na hichi ndicho Netanyahu alikuwa anakisubiria sana maana Israel kwenye vita ya anga ndio mahala pao. Baada ya kuwapunguza nguvu ua kijeshi Iran (kuwavunja mbawa) kuna uwezekano mkubwa Marekan akajitoa kwenye vita akabaki Netanyahu mwenyewe akawa anatawala anga na kujipigia vile anataka hasa kuwauwa wataalam na viongozi waandamizi (maana ndio tabia ya Israrl hii) kuhakikisha Iran hawawezi tena kuwa stable kijeshi na hichi ndio Bibi anapenda.
Ushabiki MaandaziHuu ni mtazamo wangu.

Israhell kichapo ni Moto anapokeaKuna mtu amekula kichapo.