gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Unaumia sana mkuu!Tel Aviv si tuliambiwa hakuna umeme? Au washajenga power plant ingine?
Posts zake zote reaction yangu ni kicheko. Yanaokota kila takataka halafu yanashangilia kama mazuzu..Hivi wewe una akili timamu au una akili Mnemba?
Kwa taarifa yao hizo ni picha za AI umetoka kula daku ukashiba sasa ukaona utuletee picha za AI ili uje kutuzuga? Acha ujinga wako!!
Chemical Ali na siyo comical, halafu chemical Ali hakuwa waziri wa habari aliyekua akipiga propaganda,yule alikua al sahafComical Allys kwenye ubora wao 😀😀😀😀
Mwingine yeye taarifa zake anazitolea youtube channel , video za mchongo tu lakini ndio zinamfurahisha hatuna cha kufanya.Posts zake zote reaction yangu ni kicheko. Yanaokota kila takataka halafu yanashangilia kama mazuzu..
Picha zenu nyingi ni AIKwahiyo picture za Iran kuitwanga Israel na USA ni Ai lakini picture za USA na Israel kuitwanga Iran ni original!?
Akili huna 😁😁
Halafu Trump anakuambia wameangamiza kikosi cha Navy na Resources zake, vita inapropaganda nyingi, yaani muungamize vikosi na bado mnaogopa kupitisha meli,yani haimake sense
Kinyonge sana 😄Picha zenu nyingi ni AI
Tatizo lako nimeona ni kiingereza rudi darasani ukajifunze utaiona Neno ** for now** limeandikwa ujue kuna nini!!Walisema watasindikiza
iran ikawaambia inawasubiri
KIKO WAPI ?
View: https://x.com/i/status/2031543194995826776
Kwa kuwa wayahudi wana huruma kweli watasitisha mashambulizi kwenye miundombinu ya mafuta lakini Iran mwenyewe Hana uwezo wa kuwazuia!!