US amempigia simu Putin kuomba awasaidie kidiplomasia.
EU wamempigia simu Putin anaomba awasaidie kumaliza hii vita,maana hali yao ya Gas na oil inazidi kuwa mbaya.
Gulf states nao wamempigia simu Putin wanaomba wasaidiwe kumaliza huu mgogoro.
Iran kasisitiza atamaliza vita kwa mda wake na kwa terms zake. Naona Putin washaanza mjadili kwenye vyombo vyao ulaya.
View attachment 3556289
Yaani Putin kwa sasa yeye ndiye anayeweza kukaa chini na kuongea na Iran akamwelewa na Iran naona anataka heshima maana dharau zilizidi.
Chombo cha habari cha Telegraph wamechambua kwa kina ,ila kuna watu wanadai Iran anahali mbaya.