King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Ha ha ha unachekesha sana.Hizo missile cities nyingi zipo milima ya Tabriz.
Unajua milima ya Tabriz ina urefu wa mita elfu ngapi!??
Tuletee bomu linaloweza kupasua ama kutoboa bunker iliyo chini ya milima yenye urefu wa thousand metres.
Iran wanatumia how much $$$ per day? Au hawatumii $$$ yoyote? Costs zao hazitoki kwa tax payers?🔥 Senator confirms US spends $900M a day to fight Iran
"Well, $900 million in a day is a significant number. But fortunately... we put significant increase in funding for defense. So I think we are well positioned," Thune said.
$900 million per day for defense contractors — directly from the pockets of taxpayers.
Akikujibu nistueIran wanatumia how much $$$ per day? Au hawatumii $$$ yoyote? Costs zao hazitoki kwa tax payers?
Marekani inakadiriwa kutumia karibu $900 million – $1 billion kwa siku kwenye vita.Iran wanatumia how much $$$ per day? Au hawatumii $$$ yoyote? Costs zao hazitoki kwa tax payers?
Vipi kuhusu israel anatumia kiasi gani kupambana hii vita ?Marekani inakadiriwa kutumia karibu $900 million – $1 billion kwa siku kwenye vita.
Iran inakadiriwa kutumia karibu $60–100 million kwa siku.
Pesa za vita kwa nchi zote mbili hutoka kwenye bajeti ya serikali (tax ya wananchi + mapato ya serikali kama mafuta kwa Iran).
👉 Ndiyo maana vita vinaathiri uchumi wa nchi na maisha ya wananchi.
Duuh💥💥💥💥
Mazishi ya makamanda wa jeshi wa Iran
Mkuu Israel: inakadiriwa kutumia karibu $200M – $300M kwa siku wakati wa operesheni kubwa za kijeshi.Vipi kuhusu israel anatumia kiasi gani kupambana hii vita ?
Yani hakuna Air Defense system yoyote imefata ilo Kombora this time Mashoga watajutia kuja kwenye Ardhi za watu,🚨 Numerous Iranian missiles have made impact in central occupied Palestine.
Pesa zote kakamua kupitia nyongeza ya Tozo ndio kaenda kuzitupa Iran. Kuitetea Israel!🔥 Senator confirms US spends $900M a day to fight Iran
"Well, $900 million in a day is a significant number. But fortunately... we put significant increase in funding for defense. So I think we are well positioned," Thune said.
$900 million per day for defense contractors — directly from the pockets of taxpayers.