City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Markazi ni mojawapo ya mikoa ya Iran.π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la khomein, Jimbo la markazi
Wewe ni Ant TrumpTrump anaendelea kujitengenezea mwanya wa kuchomoka kwenye vita!
Leo kasema hakuna tena sehemu za kulengwa na mashambulizi zilizobaki huko Iran na vita inaweza kuisha muda wowote ule atakaoamua yeye.
Mimi naona hii haikuwa kabisa vita yenye ulazima wowote ule.
Sababu zote za vita walizozitoa naamini ni za uongo.
Na sasa hata lengo lao la kubadili utawala huko Iran linaelekea kushindwa.
Ndani ya Marekani athari za vita zishaanza kuwagusa watu wa kawaida.
Bei ya mafuta imepanda sana.
Trump hawezi kuendelea na hii vita.
Na huko Iran mwelekeo ni kwamba Ayatollah Khamenei ataendelea kutawala.
Hii haikuwa vita yenye ulazima.
Mashmbulizi ya mwaka Jana yana fanana na kichapo anachopata sasa ?Ni unajiropokea tu.
Kama walishindwa kuharibu nuke facility mwaka jana wataweza mwaka huu!?
Iran waliacha hata kulinda hizo facilities, kuwa karibu nazo ni suicidalπNi unajiropokea tu.
Kama walishindwa kuharibu nuke facility mwaka jana wataweza mwaka huu!?
Maana yake kuna watu wanawindwa?Mashambulizi ya drones kweny checkpoints ndani ya Tehran
Aliyeanzisha vita ni Marekani lakini unailaumu Iran!Wewe ni Ant Trump
Huwezi kuona umuhimu kutatua changamoto kabla ya kuwa kubwa
Kitendo Cha Iran kushambulia majirani zake Tena wa Imani Moja
Imeonyesha wazi kama wakoruhusiwa kumiliki nuclear Nini watafanya
Uwahishwe mirembeWewe ni Ant Trump
Huwezi kuona umuhimu kutatua changamoto kabla ya kuwa kubwa
Kitendo Cha Iran kushambulia majirani zake Tena wa Imani Moja
Imeonyesha wazi kama wakoruhusiwa kumiliki nuclear Nini watafanya