City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Mkuu pengine hatukuelewana vizuri. Mimi nilichojua Kuna maandamano yanafanyika na si hii one day event ya one week ago.The war on Iran has ignited rare civil unrest in Bahrain
Bahraini authorities are cracking down violently on protesters angry at US role in the state, and detaining people for posting videos of Iranian attackswww.middleeasteye.net
Yaani ukuwasoma wachambuzi wa hapa jf hasa hawa Pro Iran utasema Iran anazuia mashambulizi kwa ustadi na kushambulia,kumbe ni sawa na mtu anaetoka mtaani kukimbiza mwizi huku milango ya nyumba yake kaacha wazi.Mkuu ni resource gani za US au Israel ulizoona wanaishiwa?
Hiyo plan aliisema nani kuwa ni saa48 au umekariri ile ya Putin unaigeuza kwa Trump?Vita vino nje ya matarajio
Plan ya kwanza ilitegemewa 48Hrs operations yao inapokewa na wananchi inatokea regime change. Mambo yamegeuka wameshapiga mabomu karibu nchi nzima lakini vitu vinarushwa tu jamaa kama wajapani hawana option ya kusurrender.
Mnaokoteza taarifa zinazowafurahisha nyinyi tuu,hamtaki check and balance.Ndio maana tunasema Inawezekana. Maana taarifa zote zinaanza hivi zinamature kuwa uongo au ukweli baadae. Kwa sasa watu wako vitani wanafanya kila upande kuonyesha uko vizuri. Ila watu kuandamana huko Bahrin ni jambo ambalo linatajwa
Pennies, budget ya Jeshi Iran ni hela ndogo Sana hata Tanzania tukifunga mikanda tunaweza kuafford. Ni chini ya 10B USD kwa mwaka mzima na Silaha zao hawanunui wanatengeneza wenyewe.Iran wanatumia how much $$$ per day? Au hawatumii $$$ yoyote? Costs zao hazitoki kwa tax payers?