Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Tangu ile vita ya siku 12 Mipango yao ilibuma wakaomba pooo!!😀😀

nasasa tena Imebuma wanaomba pooo!!! 😆😆😆

Bado Walokole wa kisaki kiteto kilima punda kigugu!! kesho kutwa watatubishia kuwa Israel hapigiki!!

Na kwamba kashapiga Waarabu wote😆😆😆😆

hata Marekani mwenyewe Israel anam'bonda🤣🤣🤣🤣🤣

Tz siami mm, chezea Walokole wewe!!
 
Kwa kua Epstein alikua anabaka watoto na ni mkristo basi wakrsisto wenzake na majirani zake wa wakikristo inabidi wamtetee,😫😄😀,Iran anampiga mnafiki yeyote yule anayejifanya rafiki yake na hii ndio maana ya UISLAM,............wewe nakufananisha na wale watu wanaotaka Rais Samia Ashitakiwe ICC kwa mauaji ya October 29,lhali wanashangilia Netanyau mwenye Arrest warrant ya ICC,aendelee kuongoza Israel na anachofanya ni sahihi😫😆😆
NOTE: UISLAM NI DINI YA KUPINGA UNAFIKI HATA KAMA ANAEUFANYA NI MUISLAM MWENZAKO
huku sio kanisani tunasema viongozi wa dini wasioe na kujisIfu ni wasomi ,ilhali hata sayansi inasema QOL is highest for family people than single,huku hatunywi pombe tusilewe😀😄 Kisha kujisifu sisi ni wasomi ilhali sayansi inasema alcohol of any amount ni sources of all diseases in the world 😁😁
 
French President Macron has announced that France will be deploying eight warships, an aircraft carrier, and two helicopter carriers in the Mediterranean, Red Sea, and Strait of Hormuz against Iran, marking a major escalation in Europe's military role. This massive fleet, led by the nuclear-powered aircraft carrier Charles de Gaulle, represents one of France's largest naval mobilizations in recent decades to protect strategic interests.

The decision follows a recent drone attack on a French naval base in Abu Dhabi, which pushed Paris to abandon its initial stance of neutrality. Macron emphasized that while the mission is "purely defensive," the fleet is prepared to execute escort operations to reopen the Strait of Hormuz, where commercial traffic has reportedly dropped by 90% due to the conflict.

The inclusion of two amphibious helicopter carriers, the Tonnerre and likely the Mistral, provides the French Navy with significant "sea-to-land" capabilities and medical support units. These vessels are essential for potential evacuations of European nationals and for maintaining a persistent presence in the volatile waters of the Red Sea.

By deploying this task force, France is positioning itself as a "power for balance" in the region, independent of the U.S.-Israeli command but aligned in the goal of deterring further Iranian strikes. This move also sends a strong message of European solidarity to allies like Cyprus, which has recently faced direct threats during the escalation.

As the Charles de Gaulle strike group arrives in the Eastern Mediterranean, it brings with it a full wing of Rafale M fighter jets and advanced air-defense frigates. This deployment effectively creates a second major Western naval front, complicating Iran's strategic calculations and raising the stakes for any future maritime confrontations.

#France #Macron #MiddleEast #Geopolitics #MaritimeSecurity
 
Ty
 

Attachments

  • 1773324874523.jpg
    245.6 KB · Views: 13
Ty
 

Attachments

  • 1773325172505.jpg
    182.1 KB · Views: 14
  • 1773325232020.jpg
    281.5 KB · Views: 13
Muhamad alioa binti wa Miaka 6
Age ya Aisha ni controversial na maulamaa wanatofautiana mambo mengi ila source zote zinakubaliana Tendo la Ndoa lilifanyika akiwa kabalehe.

PEdophile ni MTU anayetamani binti ambaye hajabalehe, MTU ambaye anaweza simamisha mbele ya binti ambaye Hana nyonyo wala mahipsi, ni vitu viwili tofauti Ila naona mnashadadia.
 
😄😄😄 Kwamba watu Wamemchoka ama niaje !?
 
Hahahaha iran bana, mkuu wa nchi anaogopa kuongea kuonekana sura anatuma voicenote tuu
Hapa wamezingua, speech ya kwanza ya kiongozi mkuu watu wote wairan na dunia walisubiri kuona lakini anatumwa tu kusoma maandishi. Kwani mojtaba yeye hajui kusoma? Basi wangerecord hata sauti yake akiongea hayo.
Kama anaumwa wangeweka wazi anaumwa yupo kwenye critical condition hawezi kuongea
 
Mkuu wa usalama wa Iran,amesema wamepokea ujumbe wa US kutoka Oman,US wakiomba suluhu ila Iran wawamekataa.Wamewambia suluhu wataamua wao kwa mda wao.
Imefikia hatua USA ana watumia mpaka oman kuomba ceasefire!!! 😄😄 Aibu sana ,

Yalivyo majehu na vimdomo mdomo vyao wanaombwa ceasefire kimya kimya halafu bado wana endelea kuleta kamdomo kwamba sisi tumeshinda vita , Sasa kama mmeshinda vita na Iran arsenal gallery za Iran zote zimeangamia siutulie tujionee wenyewe vita ikiwa imeisha cause Iran watakuwa hawana Cha kufanya mashambulizi yatatulia automatically yenyewe
 
Ngoja tuone maana hata matamko yake hakuna hatusikii tena majigambo ,, ila if angekuwa amekufa Iran wangesema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…