christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,333
- 5,490
Iran lazima wakaze kwa kuwa hawana cha kupoteza kumbuka wale viongozi wanachojali ni kutekeleza matakwa yao na sheria kwa faida wanazozijua wao ni sio kwa ajili ya wananchi. Ni ukweli ulio wazi wa Iran wengi hawapendezwi na aina ya utawala wao ila ndio hivyo hawana cha kufanya. Na viongozi wao wanaona ni bora wapigane hata kufa ila wasitolewe madarakan maana wakiingia wengine watawafunga kwa makosa waliyowatendea wengine.Mhm wananchi 14,000 washakufa na bado wanasema wao ndio washindi wa vita au Al Jazeera kakosea kuandika🥺
Nilichogundua Iran anapigika ila ni vile tu sifa za kujifanya ana roho ya paka
Ha ha sema Al Jazeera kuna muda nao miyeyusho sana. 14k Civilians sio jambo dogo hilo mkuu, pia watu wote hao hata ushahidi wowote usiwepo?
WE JAMAA UMEMALIZA, UZI UFUNGWE.Iran lazima wakaze kwa kuwa hawana cha kupoteza kumbuka wale viongozi wanachojali ni kutekeleza matakwa yao na sheria kwa faida wanazozijua wao ni sio kwa ajili ya wananchi. Ni ukweli ulio wazi wa Iran wengi hawapendezwi na aina ya utawala wao ila ndio hivyo hawana cha kufanya. Na viongozi wao wanaona ni bora wapigane hata kufa ila wasitolewe madarakan maana wakiingia wengine watawafunga kwa makosa waliyowatendea wengine.
Mkuu pro Iran wanasema jamaa Radar zao zimepigwa hivo hawashambulii tena. Mbona wewe unatupa updates za mashambulizi kila mara?💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la shiraz
Nani anasema hivyo?Mkuu pro Iran wanasema jamaa Radar zao zimepigwa hivo hawashambulii tena. Mbona wewe unatupa updates za mashambulizi kila mara?
weka hiyo plan yao ya masaa 48 na sisi tuisome.Vita vino nje ya matarajio
Plan ya kwanza ilitegemewa 48Hrs operations yao inapokewa na wananchi inatokea regime change. Mambo yamegeuka wameshapiga mabomu karibu nchi nzima lakini vitu vinarushwa tu jamaa kama wajapani hawana option ya kusurrender.
Hatimae mkuu umepata cha kuku tekenya na kucheka mwenyewe, sema huku kwa irani hawatoi cctv camera pia hawajapitisha sheria ya kufunga wananchi wao pale wanapochukua matukio au kuminya taarifa zisifike kwa vyombo vikubwa vya habari duniani. Na viongozi wao hawajakimbia nchi na kwenda kujificha nchi za nje kama akina NETAPAKA.Lakini wanaombwa wasitishe vita na bado utasema hii vita kashinda mzayuni na Marekani.
Washabiki wa Iran wa hii Vita ni kama watu waliokatwa vichwa. Wanshindwa kutumia hata akili kidogoNgoja tuone maana hata matamko yake hakuna hatusikii tena majigambo ,, ila if angekuwa amekufa Iran wangesema
Nyie washabiki wa hii vita mmekatwa vichwa?Where is Bibi?
Israel’s PM has vanished from the public eye. For several days, Netanyahu has been absent from the media—and the internet is flooding with theories about the disappearance of the chief architect of the aggression on Iran.
Geopolitics Prime rounds up the hottest points:
🌏 Fled to Germany. Netanyahu reportedly bolted for Berlin immediately after the assassination of Ayatollah Khamenei, while his wife and son holed up in their Miami apartment. The family has been spotted in the US—but Bibi is reportedly trying to fake being in Israel. The thing is the internet isn't buying it
🌏 Americans are asking questions. Sources say even Washington is growing uneasy as, unlike the early days of the war, Netanyahu hasn’t appeared—not even in a pre-recorded video
🌏 Israelis can’t find him. Netanyahu is reportedly skipping war cabinet meetings—the very heart of Israel’s crisis command. Local users are sounding the alarm: where is Bibi?
🌏 "Intel from India". Multiple social media accounts claim that India’s RAW agency allegedly believes Netanyahu and Mossad chief David Barnea were killed by a ballistic missile during a meeting in Tel Aviv. Wild, but what do you think?
Typo ni around 1,400. Data za Iranian Red Crescent SocietyHa ha sema Al Jazeera kuna muda nao miyeyusho sana. 14k Civilians sio jambo dogo hilo mkuu, pia watu wote hao hata ushahidi wowote usiwepo?
Hayo ni mawazo yako. Tatizo lenu mnaleta ushabiki huku Iran hakukaliki. Watu 3.2m wamekumbia makazi yao nyinyi mko busy kusema Israel anaficha data.Hatimae mkuu umepata cha kuku tekenya na kucheka mwenyewe, sema huku kwa irani hawatoi cctv camera pia hawajapitisha sheria ya kufunga wananchi wao pale wanapochukua matukio au kuminya taarifa zisifike kwa vyombo vikubwa vya habari duniani. Na viongozi wao hawajakimbia nchi na kwenda kujificha nchi za nje kama akina NETAPAKA.Lakini wanaombwa wasitishe vita na bado utasema hii vita kashinda mzayuni na Marekani.
Tatizo lenu mnalishwa Propaganda za uongo na West,hebu msikilize raia wa Iraq akijuta kunyongwa kwa Sadam.Nenda Libya kwa Ghadafi hizo ni Propaganda za uong😵bam anajuta kumwondoa Ghadafi na alikubali makosa yake,Tony Blair anajuta kupigana vita na Iraq zote ukifuatilia sababu za uongo.Iran lazima wakaze kwa kuwa hawana cha kupoteza kumbuka wale viongozi wanachojali ni kutekeleza matakwa yao na sheria kwa faida wanazozijua wao ni sio kwa ajili ya wananchi. Ni ukweli ulio wazi wa Iran wengi hawapendezwi na aina ya utawala wao ila ndio hivyo hawana cha kufanya. Na viongozi wao wanaona ni bora wapigane hata kufa ila wasitolewe madarakan maana wakiingia wengine watawafunga kwa makosa waliyowatendea wengine.
1,400 wamekpsea. Data za Red Crescent ambayo ni kama Red Cross.Mhm wananchi 14,000 washakufa na bado wanasema wao ndio washindi wa vita au Al Jazeera kakosea kuandika🥺
Nilichogundua Iran anapigika ila ni vile tu sifa za kujifanya ana roho ya paka