Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Pezeshkian walking among the people while his Supreme Leader is injured and in hiding.

The president is visible. The Supreme Leader is not.

Iran's public face right now is the man Israel deliberately kept alive because they think he's negotiable.
 
N
Mkuu, Namna hii, kwa wabobevu wa mambo ya vita, kukiwepo makundi mawili yanaypingana katika mwelekeo wa Serikali, haiwezi kuleta shida nyingine ya vita ya wao kwa wao?
 
Pezeshkian walking among the people while his Supreme Leader is injured and in hiding.

The president is visible. The Supreme Leader is not.

Iran's public face right now is the man Israel deliberately kept alive because they think he's negotiable.
Raisi mwenyewe alikua majeruhi.

Pia negotiable kivipi? Hana power huyo ya maamuzi yoyote, unafkiri anaweza kusimamisha vita?
 
Raisi mwenyewe alikua majeruhi.

Pia negotiable kivipi? Hana power huyo ya maamuzi yoyote, unafkiri anaweza kusimamisha vita?
Huyo ni upande wa Siasa.

Israel na Marekani wanatengeneza mazingira ya vita ya wenyewe kwa wenyewe Iran...

Sijui kwa nini hamuoni bigger picture... Toeni chuki zenu kwa Israel na ushabiki wenu kwa Iran alafu mjadili kwa utashi
 
N

Namna hii, kwa wabobevu wa mambo ya vita, kukiwepo makundi mawili yanaypingana katika mwelekeo wa Serikali, haiwezi kuleta shida nyingine ya vita ya wao kwa wao kweli chief
Vita vinatokana unapo ignore watu wengine, siku zote ukimzuia MTU asiongee ama kumnyima haki zake za msingi anaweza kuasi.

Iran Serikali Yao ina Include watu wote, haijalishi wewe ni jew, mkristo, muisilamu, Mzungu, Mwarabu, muajemi etc. wanagombana wenyewe kwa wenyewe hio ni Aina Yao ya maisha.

Ndio maana wanaendelea kwa Kasi, Israel na USA hawaipigi Iran sababu ya wanawake ama haki za binadamu Bali hayo maendeleo Yao na ustaarabu wao, ni hatari Sana kwa Western Empire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…