Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Duh! Yale waliyosema hayaonekani ambayo yalishambulia mara ya mwiso Iran kwenye sehemu za nyukilia kwenye vita ya siku 12 yanaitwaje mkuu?!
Ndio hizo B-2 Bomber. Siku ile zilitumika mbili haina maana zipo mbili.
 
Hii vita Itabakia kwenye Historia tunafichwa ila ukweli unaanza kutoka pole pole
Vladimir Belyak, mwanachama wa Knesset ya Israeli, aliandika katika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa X:
Waisraeli elfu mbili wameuawa na kujeruhiwa; makumi ya maelfu wameathiriwa kimwili na kiakili, na watoto wetu wamekuwa wakiishi katika hali za dharura kwa miaka.
Nusu ya nchi inataka kurejea katika maisha ya kawaida, likizo na amani, lakini inaonekana tunalipa gharama kubwa kwa hilo.


View: https://x.com/i/status/2032604306344399340
MUNGU IBARIKI IRAN 🇮🇷☑️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…