Hilo eneo ni muhimu sana kwa $. Imagine BRICS wakapatumia hapo kupigana na $ kwa kuisapoti IRAN kuhakikisha meli zote zinazopita hapo haziuzi kwa $.Trump ana akili sana hapa anataka kutawala hilo eneo la mfereji sasa hatak kwenda mwenyewe anataka aiingize dunia nzima kwenye utawala ila kiuhalisia yeye ndio atakuwa anatawala.
Ubinafsi na uwoga umewajaaHilo eneo ni muhimu sana kwa $. Imagine BRICS wakapatumia hapo kupigana na $ kwa kuisapoti IRAN kuhakikisha meli zote zinazopita hapo haziuzi kwa $.
Sawa BRICS wamefeli basi waambie viongozi wako wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiongozwa na wewe Afisa Mipango Mwandamizi kwenda kutekeleza hilo wazo lako kikamilifu.Hilo eneo ni muhimu sana kwa $. Imagine BRICS wakapatumia hapo kupigana na $ kwa kuisapoti IRAN kuhakikisha meli zote zinazopita hapo haziuzi kwa $.
Wewe oktoba 29 kama haukuwa muoga, mbona ulijifungia ndani?Ubinafsi na uwoga umewajaa
Inawezekana, au pengine wamempima USA wakaona kwenye hilo hana utani na wakimchokonoa sana ni WW na pengine mwisho wa dunia ya kistaarabu kama tuijuavyo sasa wanaona haikidhi haja.Ubinafsi na uwoga umewajaa
Nipe location ya nilipojifungia mkuu nikupe video na picha nilipokuwepo hiyo sikuWewe oktoba 29 kama haukuwa muoga, mbona ulijifungia ndani?
Sijasema BRICS wameshafeli, nimehoji kutokuitumia hiyo nafasi kwa upeo wangu binafsi. Pengine kuitumia hiyo nafasi ndo kungewafelisha zaidi, who knows wanachoona wao? EAST africa sisi ni wasindikizaji, nafasi yetu ni finyu mno.Sawa BRICS wamefeli basi waambie viongozi wako wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiongozwa na wewe Afisa Mipango Mwandamizi kwenda kutekeleza hilo wazo lako kikamilifu.
Tena apo ndio Marekani wanapigana Bega kwa bega na Israel yenyewe km yenyewe haàaaaaaaa!!!!
Jamaa wapo mbele ya muda....shule mkuu!Tena apo ndio Marekani wanapigana Bega kwa bega na Israel yenyewe km yenyewe haàaaaaaaa!!!!
1) Wkt Dunia haijui Netanyahu yupo wapi wkt
2) Wkt miji ya nchi 11 imeteteleka vibaya!!
Ikiongozwa na miji ya Israel Haifa Tela Aviv
3) Wasomaji wa Jamii forum tukumbuke. Bado Islamic Republic of Iran Wanapigana wakiwa ndani ya mipaka yao !!
Ndiomana wajuzi waanaamini Iranian ndio Yahudi Og !!!
Awa wengine sio Wayahudi ni Mashoga kutoka Ulaya wameidandia Bible kwa mbele na kujivika Ukweli usio wao wamebebwa na MEDIA na pesa basi.
Kimsingi Kiakili hakuna kitu weupe kama Weupe!!!
Kivita ni Iranian ndio mwenyekushangaza Dunia ya Technology Vita sio Israel
Hatujawai kuona Makombora ya mfano wa Iran kwenye Dunia
yani mwendo wa Draft tu kufikia sasa. Dunia ikitetemeka Zaidi ya km2000+ miji inawashwa MOTO. Na Watoto wa Iran wakiwa kwenye mipakayao.
Naona Fox News ndiyo Wako against Sana na Trump. Ngoja tuone.Marekani ineanza kutishia kuwafutia leseni wanahabari na vyombo vyao kwa kusema ukweli kuhusu kinacho endelea kwenye vita na Iran.
Imagine 😄Kwenye Dunia ya utandawazi bado Mabeberu wanataka kuzima Ukweli usijulikane !!
tatizo pengine zile Meli zake3 zimefubazwa💥💥💥 haziwezi kushiriki Vita kama onyo tu. Kutoka Iranian..
Trump kaagiza ziende Meli nyingi uku anaomba msaada Ufaransa China uyo ndio SUPER power wa Kilokole 😜😜😜😜😜
😁😁😁 Halafu Kuna mtu katuambia serikali ya Israel imerudishwa shughuli za kijamii katika Hali ya kawaida imewataka raia waanze kwenda shule I masokoni makazini , uongo kitu kibaya sanaWamempiga Iran
Wamemaliza Makombora ya Iran
Kwanini Uwanja Mweupe wote Shimoni
Hahaha Wamemchokoza Kichaa
View: https://x.com/i/status/2032998729649656234
Wasabato na walokole wa bongo ndio wanasema hivyoS
Sasa wanadai ni AI
uku wakiona kijana na Simu yake wanamtoa nduki hasichukue Picha 😜😜
pale wamechelewa kuzuiya picha imetoka ndio tunaambiwa ni AI 😄😄😄😄
Iran ya 1958 ili chini ya PAHLAVI SHAH ambaye ni KIBARAKA TUKUKA wa USA na Israel.kwani hiyo Iran haukuwepo hiyo 1958 Na kwa usikchokijua wengi wa walioanzisha hizbolah ni waarabu wa palestina wengi wakiwa wapokewakama wakimbizi mjinga wewe
😄😄
Thit comment 🙌🙌😁