Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Netanyahu alikufa mwanzo mwanzo wa Vita !!

wenyekusoma watu Usoni tulielewa kuna kitu hakipo sawa kwann.... !

Kuna kikao cha Trump kilifanyika uko uko Marekani Trump na wajumbe wa ule Mkutano ukiwausisha Wanajeshi wao walikuwa kwenye Uzuni nusu ya kilio!!!!

Inaonekana kabla ya kikao kuanza Walitonywa kuhusu Netanyahu na Viongozi wengine waliouwawa!!

Ndio mana Trump Akasema fursa ya kusitisha Vita kwasasa haipo tena!!!!
Hesabu imeenda mlama!!!

Trump akadai niliwapa nafasi ya kumaliza Vita lkn sasa haipo tena.!!

Mpaka mm yeye Trump ndio ataamua lini Vita visimame!!!

IRANIAN Ikajibu alaka💪💪 ni wao ndio wataamua lini Vita viishe. Sio Trump tena.!!✍️
 
Nacho hisi mm Jamaa Yupo ila Alijeruhiwa na Anatibiwa akiwa hali mbaya
 
Hata sisi tunaitizama Aljazeera hiyo hiyo. Ila hatuegemei Aljazeera peke yake. Pia usitumie Aljazeera kama fimbo kwenye taarifa za huu mzozo.
Aljazeera ilishafukuzwa Israel na Westbank isiripoti chochote. Hivyo Aljzeera kupata taarifa za Iran ni rahisi kuliko za Israel.
Kwasababu HAKUNA MWANAHABARI WA ALJAZEERA ISRAEL WALA WESTBANK HATA MMOJA.
Unategemea kutakua na uwiano wa habari!??
Kuweni wakweli muda mwingine.
- Hizbollah jana imeshambulia Israel vipi Israel imesalimika!??
 
Maneno ya kishujaa sana haya

"Iran won't stop this war until the level of victory is achieved,this is war of survival and existence".
 
Yaani hawa jamaa ni kama watoto wadogo wanavyofanganywa kwa pipi wanaleta habari hapa za kujifurahisha wakati wenzao huko wanaumia.
 
Bro nuclear ya nini sasa, kuna miundombinu Trump alisema amewacha kama akiba ikiwemo vyanzo vya kuzalisha umeme%, wakipiga hivyo kwisha habar
 
taarifa yeyote kubwa haiwezi kutoka kwenye page za udaku halafu Al Jazeera wasiiweke, video zote za Iran kushambulia Israel wanaweka.... Al Jazeera wana beef na serikali ya sasa ya Israel ni ngumu sana taarifa kama hizo wasiziweke

Pili Kuna watu humu bado wanaamini kwamba Israel inachakazwa na Iran 😀, hawa watu kinachoendelea Tehran hawakioni au shida ni ushabiki

USA na Israel sasa wanatumia JDAM... Idadi ya JDAM kwa USA ni unlimited 😀, kwasasa zinamwagwa hapo Tehran kama mvua
 

Attachments

  • TEHRAN___Wadau wa _dunia_ya_vita narudia kuwakumbusha kuwa vita haijaanza.__Sasa hivi watu wal...mp4
    4.1 MB
  • KUFUMUKA KWA MILIPUKO KUTOKEA ARDHINI (KIASI KADHAA CHA MZIGO KILIKUA HAPA) __(Itazame video h...mp4
    1.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…