Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kaskazini magharibi mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi la anga isfahan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la fardis. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la hosseinabad loyzan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la la falavarjan isfahan
 
Hezbollah= Shia
Palestine = Sunni
1950s Iran ipo chini ya Shah vibaraka watiifu kwa Marekani, Serikali ya Shia imeingia madarakani Mapinduzi ya 1970s. Kila ukifungua mdomo ni uongo juu ya Uongo, huna tofauti na huyo Trump wenu mnayemtetea.
angalia ulivyo yaani unamaanisha kwa kuwa hizbolah ni shia hawawezi kuwa ni wapalestina waliokimbilia Lebanon na kwa taarifa tu ni kubwa Lebanon ilikuwa nchi ya amani kabisa na ndoa nchi iliyokuwa na wakristo wengi zaidi hapo mashariki ya kati lakini walipokubali kuwapokea hao wakimbizi wa kipalestina (hizbolah wa sasa) wakaanza
kuwauwa wote waliokuwa kinyume na imani yao mpaka kuna waziri Mkuu mkristo walimuuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…