Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Abbas anasema kuna viongozi wa nchi zaidi walizungumza na Iran.
Nahisi itakua ni nje ya hizo nchi ulizotaja.
 
Sio mda Iran itakua kama Tanzania ๐Ÿ˜€
Wewe tembo (Iran) hata akikonda hawezi kuja kuwa kama sisimizi (Tanzania).
Irani alipigana vita miaka nane, amewekewaa vikwazo since then (1979)...... Leo hii inapigana na nchi mbili ambazo zina uchumi mkubwa Sana kuzidi yeye, zina high tech, zinafanya zinavyojisikia (hata siku moja US-Israel hawajawai kuwekewa vikwazo kwa udhalimu wanaoufanya).... Lakini Iran inawaonyesha kwamba na yeye ni ngangari na jemedari kweli kweli. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜€
Tanzania vita dhidi ya Idd Amini WA Uganda ilitufanya turudi รฑyuma kiuchumi miaka Mia. Yaani, Uganda Tu alitutoa kamasi na nchi yetu ikateteleka pakubwa Sana.

Kwa hiyo, nahitimisha kwa kusema kuifananisha Iran na Tanzania ni sawa ma kufananasha mbio za farasi na mbio za mbuzi. Irani Ni level ya farasi Sisi ligi yetu ni ya mbuzi (Ligi ya mchangani), japokuwa Makamanda wa Nkunda wanatudanganya kwamba nchi yetu ni ya sita kijeashi duniani ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ฒ
 
Ungeleta taarifa zako za uhakika
Acha kulalamika kama kisichana Cha balehe
 
Lete wewe zenye uhakika utashabikiwa na makobazi. Jf ni huru hakuna aliyefungwa kuleta habari hapa acha ujinga.
 
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท The New York Times confirmed it. In the Oval Office last week, a frustrated Donald Trump pressed General Dan Caine Chairman of the Joint Chiefs โ€” demanding to know why the United States cannot immediately reopen the Strait of Hormuz. The answer was simple. They canโ€™t.

The Wall Street Journal had already reported Trump ignored Caineโ€™s warnings before the war about exactly this. Karoline Leavitt called it โ€œPREPOSTEROUS.โ€ Senator Chris Murphy walked out of a classified briefing and said simply: โ€œThey had NO PLAN.โ€
So here is the sequence. Netanyahu orders his apprentice to launch the war. MBS makes the phone calls. Trump launches it on their behalf with Americaโ€™s military, Americaโ€™s money and Americaโ€™s soldiers. Caine warns him about the strait. He ignores it. The strait closes. He begs Russia and China (China gets 6.6% of its energy through Hormuz but is still getting their ships through) and is now threatening to delay his Beijing summit over it.

He begs France, Japan, South Korea, the UK. Nobody comes. He goes on Israeli television to say itโ€™s not Americaโ€™s problem. While he sits in the Oval Office shouting at his own general asking why he canโ€™t fix the thing he was warned not to break.

This is the Epstein coalitionโ€™s war of choice. And itโ€™s going brilliantly.


View: https://x.com/i/status/2033402807621980617
 
Hizi Aircraft carriers Kama Iran tu Kazikimbiza Zikija Kutana na Mchina Au Mrusi!!


๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ โ€” Headlines from western media as follows:

๐Ÿ”บ Reuters: The era of aircraft carriers is coming to an end; ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ USS Abraham Lincoln is limping out of the Persian Gulf.

๐Ÿ”บ Reuters: With its military ingenuity, Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท has proven that aircraft carriers are no longer โ€œimpregnable fortresses,โ€ but merely large and expensive targets.

๐Ÿ”บ CNN: The return of the USS Abraham Lincoln to the United States ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ in this condition is the biggest blow to the reputation of the American military since the Vietnam War.

๐Ÿ”บ Sputnik: The legend is dead; ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Abraham Lincoln arrived to threaten, but is returning as a floating pile of scrap.

๐Ÿ”บ AFP (Agence France-Presse): Panic in the Pentagon; with the withdrawal of the ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ USS Abraham Lincoln, the balance of power in West Asia has definitively shifted in Iranโ€™s ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท favor. no one can rely on American ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ protection anymore.

๐Ÿ”บ The Telegraph: This defeat will go down in history as โ€œthe moment Western naval dominance collapsed.โ€

The level to which Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท has already fucked up the United States ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ military cannot be overstated.

View: https://x.com/i/status/2033319423176495270
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ