Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Kawaambia ubalozi wao ukilipuliwa wanapaswa kupambana wao wenyewe wao haiwahusu kwasababu Kwa mujibu wa sheria za kimataifa ubalozi wa mtu una wakilisha Nchi yenye ubalozi huo ndani ya Nchi nyingine, yaani ubalozi wa USA ni Ardhi Yao wenyewe so wanapaswa kuipigania wao wenyewe cause Iraq haiwahusu ile sio Ardhi Yao Kwa mujibu wa sheria za kimataifa ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Kwa mara yakwanza Kuona UK Viongozi wakisimama na Uhalisia wa Mambo

'I have been attacked by some for my decision NOT to join the offensive against Iran' โ€” Starmer

'Some others wouldโ€™ve rushed UK into this war without a full picture. It's not leading, it's following. My leadership is to stand firm for British interests, no matter the pressure'

View: https://x.com/i/status/2033510539067060434
 
Kifupi Utwangwe tu na wasiwahusishe hayawahusu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
USA mbona kama inataka kutengwa hivi na Tayari imesha poteza nguvu ya ushawishi katika siasa za kimataifa, mambo kama haya hatukuwahi kutegemea kuyaona miaka 20 iliyopita ๐Ÿ˜„๐Ÿคฃ
USA walikuwa wakibweka tu watu wote ndani , what was happen!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ