Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

IDF spokeswoman Anna Ukolova threatens RBC radio Moscow for anti-Israeli news,saying jews have eyes everywhere they can reach even Putin.

Naona Israel wanaanza kudata,yani uiguse Kremlin??😂😂😂😂😂
Ni Israel inafutwa sekunde tu.
 
Daah watu wamesoma bana,ndio maana hata ukimuuliza maswali Araghchi anakugonga majibu ambayo hurudii kumuuliza tena swali.
 
Wewe ni Muongo huyu anaitwa ebrahim Zolfighari na hajafariki..huyu ni Spokes person wa IRGC aliye fariki sio huyu you need to filter your details to make readers enjoy the thread..
Ndiyo huyu tumia hata Google lens
 
Aibu sana bad enough anazidi kuharibu ana waita Nato washirika waoga 😄😄😄

Kwenye hicho kikao atahudhuria peke yake na manaibu wake , trump kachelewa sana ujinga alionao kichwani ni yeye kuamini kwamba anaweza kuifanya USA kuwa na nguvu ya maamuzi ya kidunia kama jinsi ambavyo ilivyokuwa mwanzoni maa miaka ya 80, Kumbe muda umesha watupa mkono Nchi nyingi zimeimarika now na Zina option nyingi tofauti na zamani yaani imefikia hatua mpaka Spain wana ivimbia serikali ya USA Hii inaonyesha sera ya MAGA imefeli vibaya sana kabla hata jogoo la Asubuhi halijawika
 
Daah watu wamesoma bana,ndio maana hata ukimuuliza maswali Araghchi anakugonga majibu ambayo hurudii kumuuliza tena swali.
Asa kwenye suala la kusoma unawaweka waarabu na waajemi labda elimu za madrassa 😎
 
Namna hiyo 😄😄😄😄 wakome wasirudie Tena ,

Kumbe Iran Walikuwa wanawachora tu lakini sleeping lion wanasubiri wajichanganye now wanajionea show 😁
 
Wewe ni Muongo huyu anaitwa ebrahim Zolfighari na hajafariki..huyu ni Spokes person wa IRGC aliye fariki sio huyu you need to filter your details to make readers enjoy the thread..
😄😄😄 Muuza chai huyo ulikuwa hauja mshtukia !?
 
Waajemi ni miongoni mwa wanasayansi bora duniani.
Bisha nikutajie.
Achana na mjinga anayetumia internet na hamjui father wa algorithm al Khawarizm na influence yake kwenye algebra (al jabr)
Hajui influence ya urban planning kutoka enzi za Cyrus the great ndiyo maana wanakaa mabondeni na squatter
Hajui Qanat water system iliyo influence irrigation imetokea wapi
Anatumia alcohol lakini hajui muasisi wa distillation process ametokea wapi
Anatumia Julian calendar ambayo waliiga kutoka Jalali calendar ya waajemi
Anaenda hospital lakini hajui influence ya medical schools za waajemi kwenye tiba na hospital
Atafute influence ya Abu ʿAli al Ḥusayn ibn ʿAbd Allāh (ibn Sīnā) au Avicenna kama wazungu walivyomuita na Canon of Medicine au “Medical Bible” yake
Leo hii watu wanafanya reasoning kwa philosophy za kiajemi kwa kutumia ethics and natural order ambayo ina influence intellectual traditions ndiyo maana huoni kiongozi yeyote wa Itan akibwatuka jukwaani kama yule “Waziri wa Vita” , podcaster Hegseth au boss wake DJT. Wa Iran wanaongea taratibu kuanzia Ayatollah Khamenei, President Masoud, FM Aragchi na huyo Larijani
 
💥💥💥💥
Trump: hatutamaliza vita wili hii , lakini tutamaliza muda si mrefu. Sijui kiongozi wa kuongea nae huko Iran, kila mmoja ameshafariki
Eti Kila kiongozi ameshafariki so viongozi wanao endesha hiyo vita kutokea upande wa Iran wana iendesha wakiwa kuzimu sindio !?

Mnao mfuatilia trump na kumuamini wote ni mazero brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…