Broken linguistic to the max.Haaaahaa do you know the meaning of majority? Majority without facts. Are you serious? Can I lying myself that Iran can beat the powerful combination of US and Israel, Am I serious? May be if am out of my mind.
Endelea kuota, mwaka 1980 hadi 1985 Saddam Hussein alisema kama wewe Iran ata surrender,mwisho vita ikafika 1988 na aliyeomba yaishe ni Saddam Hussein.NATABIRI YAFUATAYO.
1. Ndani ya wiki hii Iran ita surrender.
2. Mtoto wa mfalme anaeishi USA atachukua nnchi.
Huu ni utabiri tu.
Shia ni taasisi. Wana long plan succession mzee.Ili uongozi ukosekane kama ilivyotokea Syria tu.
Kwani unadhani Syria bahati mbaya ile kumweka Gaidi?
NATO ambayo contributor mkubwa ni USA ama NATO ipi?Huyu mzee lazima amewahi kuvuta cha Arusha. Yaani kwenye diplomacy yupo zero kabisa. Ubabe wake utaiua hiyo NATO.
We jamaa una ubishi wa kijinga.Acha uzushi,anaerusha clusters bomb ni Iran si Hezbollah, na hizi ndio Iran alisema silaha zake mpya kaanza kuzitumia majuzi tuu hapa.
Bro you have nothing to teach me anyhow. I used to say and am repeating to say that Iran to US is like a drop of water in the ocean although it pains, you have to swallow it as long as it is curing.Broken linguistic to the max.
Your stupidity level is what made you to say China can't sell weapons to Iran while she did so.
Also your lack of exposure and crucial critical thinking is what made you to deny the fact that Iran stood herself and is still standing by herself against USA and Israel.
Is their any US base which is functional in the mid east apart if Israeli's??
Is there any US embassy which is functional in the mid east??
You do lack critical thinking,that is your problem.
Instead you do comment childish comments,factless one with trivialities.
Is there any functional US base in mid east??Bro you have nothing to teach me anyhow. I used to say and am repeating to say that Iran to US is like a drop of water in the ocean although it pains, you have to swallow it as long as it is curing.
Unajua huyo rais wa Syria kumuweka nani?Al jazeera reports;
US encourages Syrian government action against Hizbollah.
Mnaosema watu wanaelemewa mbona wanaoonekana kushinda ndio wanashawishi watu ili wawasaidie?
Israel viongozi hawaonekani uraiani kunani!??
Suala sio nani kamuweka suala ni je watakubali!?Unajua huyo rais wa Syria kumuweka nani?
Huyo Rais wa syria ni myahudiAl jazeera reports;
US encourages Syrian government action against Hizbollah.
Mnaosema watu wanaelemewa mbona wanaoonekana kushinda ndio wanashawishi watu ili wawasaidie?
Israel viongozi hawaonekani uraiani kunani!??
Sasa mbona wanatoa siriAljazeera reports;
-Iranian Qeshm island is the greatest missile fortress of all,and major many strikes emerge from there.
Hili mbungi hadi liishe kazi ipo.
Akijichanganya anapinduliwa.Huyo Rais wa syria ni myahudi
Sijui ila maafisa wa kigeni ndio wametoa hiyo ripoti.Sasa mbona wanatoa siri