Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hata wakimbatiza inasaidia nini?
Iraqi mabalozi na wanajeshi wa USA wanahangaika maana wanasakwa kama nini.
Na serikali ya Iraq imekataa kuwalinda.
We unadhani kwanini USA aliwaasa raia wake waondoke mashariki ya kati?
Wee zero kabisa, serikali yote ya Iraq inaishi green zone inalindwa na American military technology, na hakuna nyau anaweza sogea kwenye American military bases Iraq,US hahitaji ulinzi wa Iraq,mtarusha virocket vyenu kupiga kelele and that’s it
 

Marekani imeondoa personel wake huko Iraq. Kama imeshindwa kulinda watu wake, haiwezi kulinda viongozi wa Iraq
 
Kumbe we ni bwege wa taarifa wale wale tu!?
ERBIL BASE ya USA pale Iraq imepigwa na kuteketea kila kitu.
Balozi ya USA pale Iraq imevamiwa na kulipuliwa na Iraq hizbollah.
We unaongea ujinga.
KAMA HUJUI KAA KIMYA.
 
Najiuliza hapa trump kaomba msaada NATO wamemkatalia, ikatokea Israel na marekani wakashinda vita peke yao basi ulaya watakutana na dharau za kutosha toka Kwa marekani,

Pia ulaya itawalazimu warudi kwenye meza ya mazungumzo na urusi kuyamaliza
Hapo ndipo Trump anajua atawakamatia wapi ndio maana anawaropokea atakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…