Kazi kipimo cha utu Iran twangaaa tu wana wa mashogaπ₯π₯π₯π₯
Kilichosubiriwa nimefika, fungeni mikanda, Iran anapiga na yeye facilities za mafuta, it's official Njaa na mfumuko wa bei unakuja, mtakumbuka Sana Trump.
Wao huwa wanajirushia tu linatakapotua saw.As far as I understand hawatarget civilians area na wanatoa Taarifa kabla, sometimes wanazungushia Hadi Eneo watakalopiga na Kutoa Taarifa kabla km 1 kuzunguka Eneo waondoke.
Kama Una ushahidi Iran wanapiga Shule, vyuo etc na sehemu ambazo sio za kijeshi uweke humu.