Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sasa Iran kwa nini anashambulia vituo vya mafuta vya Saudia au ni vya wamarekani au ni Israel anataka fujo itapakae kote middle east.
Marekani atakuwa anashea. Alafu tuliza kijambio Iran alitoa taadhari mapema kama vituo vyake vya mafuta vitashambuliwa, basi vituo vyote vya mafuta ambavyo vipo middle east vyenye mahusiano na marekani vitakuwa tageti. Hiyo inaitwa tit for tat 🀣🀣🀣
 
sijakuelewa kabisa emu soma mwenyewe apo mwanzo maana imebidi niishie huo mstari wa kwanza
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la bandar anzali
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la bandar anzali
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la jahrom. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la pahlavi port
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la pahlavi port
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo kambi ya jeshi la majini Hassan rud. Milipuko mikubwa
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la sohrevardi katikati mwa Tehran. Mlipuko mkubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la isfahat
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…