Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Watu wanajiondoa huko!!!!!!!!!!

USS Gerald R Ford aircraft carrier heading to Greece for repairs - CBS​


The USS Gerald R Ford aircraft carrier is heading to an American navy base on Crete, Greece, for repairs after last week's fire onboard, a US official has told the BBC's US partner CBS News.

Published at 00:19

 
Hii mbona kawaida,na imezidisha muda wa deployment miezi kumi sasa ipo kwenye deployment ambapo imezidisha muda,pia inaenda refueling na kujua chanzo cha moto ulioanzia laundry. Mlisema hapa imepigwa missile chuma hicho hapo
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la isfahan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la karaj
 
Hii inamsaidia vipi Iran kuzuia hayo mabomu?
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Bushehr. Milipuko mikubwa sana
 
Hilo daraja la MTO laitan tayari limesawazishwa usiku huu
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la shiraz. Milipuko mikubwa sana
Mitetemo ya ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…