Haaaaa eti wamedhibiti ww jamaa una ushabiki wa kifala kweli.
Yaani mlitegemea eti Iran iharibiwe vyanzo vyake vya kiuchumi alafu yeye akae kimia la msingi hapa tujiandae kununua mafuta lita 10,000 tu.
Mnunuzi mkubwa wa mafuta ya Iran ni China,Uyu Trump wkt wa Utawala wake wa kwanza kuingia Ikulu !!!
alikusudia kuzuiya Iran kufanya Biashara ya Mafuta mnakumbuka!!!
alisema nitaakikisha hakuna hata litamoja inayouzwa kutoka Iranian!!
sasa kabla ya kuwekwa Vikwazo kwa Iran!!!
Trump aliakikisha Makampuni ya Marekani yananunua Hisa za Nishati eneo la Gulf States.
Baada ya apo Trump akaingia kibaruani kutangaza kwa Dunia ni Marufuku kununua Nishat ya Iran !!
Iran ilipata pigo kubwa sn na !!!
Na Waarabu wakashangilia kimya kimya !!
Korea kusini aligundua mafuta ya Iran ndio number 1 kwa Viwanda vyao!!
kushinda wengine wote kieneo so alikuwa mnunuzi mkubwa pamoja na Japan!!
lkn tutafanyaje na mkubwa kaamua
hii Vita Iran kapata sababu ya kulipiza ujambazi aliofanyiwa.tutagawana Umasikini.
Nevatim airbase imepapaswa.
Sehem za kujazia mafuta ya ndege mid east zimepapaswa.
Petrochemical industries zimepapaswa hadi Saudi Arabia wame panick kutishia kulipiza.
USA naona anaendelea kufanya maamuzi ya KIJINGA ya kuingiza jeshi lake ardhini Iran.
Soon tutaona US marines wakiingia kwa majeneza kwa wingi.
Mnunuzi mkubwa wa mafuta ya Iran ni China,
Israeli ndio anayekosesha amani mashariki ya kati. Anajiongezea maeneo kwa nguvu kila kukicha na vita nyingi yeye ndio anayeanzisha.Iran lazima apigwe na utawala ubadilishwe yeye ni chanzo cha ukosefu wa amani pale mashariki ya kati, na anafadhili vikundi vyote vya magaidi pale... Kuna video za IDF wakionyesha silaha walizokuta kwenye majengo ya Hezbollah waliokimbia ya mipakani na Israel ndio nikaona lazima afundishwe adabu na wasilegeze waendelee kukaza hapohapo maana ashaanza kutapatapa na utakuwa ushindi mkubwa sana na sio kwa Israel na Marekani hata mataifa yote ya kiarabu hayamkubali!!
Sasa mbona mpaka sasa hivi huyo Marekani ameshindwa kuzilinda zina shambuliwa kila siku?Saudi Arabia, UAE na Qatar wanamuhitaji sana Marekani *****...
Wakitoa hizo base wanakuwa chakula cha Israel au Iran.
Hizo Nchi ni very weak
Bila Marekani zingekuwa zimeshaangukaSasa mbona mpaka sasa hivi huyo Marekani ameshindwa kuzilinda zina shambuliwa kila siku?
Kupitia HAMAS na HEZIBOLLAH, nani Mfadhili wao??? Kwanini Kila siku wanaishambulia Ardhi ya wayahudi????Israeli ndio anayekosesha amani mashariki ya kati. Anajiongezea maeneo kwa nguvu kila kukicha na vita nyingi yeye ndio anayeanzisha.
Vita gani irani alianza kushambulia nchi yoyote?
Kiufupi hizi nchi za kiarabu zinasitahili hichi zinacho kipata maana ripot zinaonesha kuwa Saudia nyuma ya pazia ilikuwa ikishirikiana na Israel kumshawishi Trump aishambulie Iran sasa watulie wale matunda ya kitu walicho kuwa wakikitaka.Uyu Trump wkt wa Utawala wake wa kwanza kuingia Ikulu !!!
alikusudia kuzuiya Iran kufanya Biashara ya Mafuta mnakumbuka!!!
alisema nitaakikisha hakuna hata litamoja inayouzwa kutoka Iranian!!
sasa kabla ya kuwekwa Vikwazo kwa Iran!!!
Trump aliakikisha Makampuni ya Marekani yananunua Hisa za Nishati eneo la Gulf States.
Baada ya apo Trump akaingia kibaruani kutangaza kwa Dunia ni Marufuku kununua Nishat ya Iran !!
Iran ilipata pigo kubwa sn na !!!
Na Waarabu wakashangilia kimya kimya !!
Korea kusini aligundua mafuta ya Iran ndio number 1 kwa Viwanda vyao!!
kushinda wengine wote kieneo so alikuwa mnunuzi mkubwa pamoja na Japan!!
lkn tutafanyaje na mkubwa kaamua
hii Vita Iran kapata sababu ya kulipiza ujambazi aliofanyiwa.tutagawana Umasikini.
Kutokuwepo kwa Marekani ndo ingekuwa salama kwao kwa sababu asingepata sababu ya kuwashambulia mbona hujiulizi ni kwanini Iran Hajashambulia nchi kama Afghanistan,Armenia au Pakistan?Bila Marekani zingekuwa zimeshaanguka
Sizungumzii kushinda vita, nazungumzia nazungumzia Iran kuvujisha taarifa.Kwani wameshindwa vita ??
Anadhamini makundi yote ya kigaidi pale mashariki ya katiIsraeli ndio anayekosesha amani mashariki ya kati. Anajiongezea maeneo kwa nguvu kila kukicha na vita nyingi yeye ndio anayeanzisha.
Vita gani irani alianza kushambulia nchi yoyote?
Basi kunywa soup Mzee mambo badoSizungumzii kushinda vita, nazungumzia nazungumzia Iran kuvujisha taarifa.
Kuhusu suala la mshindi, mtanange bado unaendelea
Tangu 1979 Iran haikuwahi kuwa tishio kwa taifa lolote Middle east. Badala yake ilijitahidi sana kutaka kuunganisha uhusiano mzuri na nchi za gulf.Badala yake kila leo wamekua wakiisaliti Iran.Saudi Arabia, UAE na Qatar wanamuhitaji sana Marekani *****...
Wakitoa hizo base wanakuwa chakula cha Israel au Iran.
Hizo Nchi ni very weak
Tarehe 17 raia wa Iran wamefanya pro-government rallies. Wakiunga mkono serikali. Mind you kama Iran wakiwa hawataki kitu huwa hawakwepeshi,1979 Shah Pahlavi aliweka jeshi kumtetea ila NCHI NZMA iliandamana na kumkimbiza ofisini. Hawashindwi hata sasa. Wapinzani wapo ila sio kufikia idadi ya wanaoiunga mkono serikali.Unadhan US ni mjinga? Hapo hawezi ingia mwenyewe lazima Qatar na Saudia washiriki sababu Iran keshawachokoza. Na vile wananchi wa Iran hawaipendi huu utawala wa Iran lazma watawaunga mkono.
Iran ina majeshi yaliyogawanyika sehemu nne ambayo yanajiendesha kwa amri yake na yote ni matiifu.Wakiingia hapo hata miezi miwili haishi utawala utakuwa umeanguka maana watakuwa wanapokea kipigo kutoka juu na ardhini huku wananchi watapata fursa ya kuwaunga mkono US kwa kutoa taarifa na kufanya maanamdamano, na kuna uwezekano mkubwa jeshi likagawanyika hasa jeshi lililochini ya Rais likamuunga mkono US ili wapewe nchi unadjani watakataa hii fursa wakati mda wote huwa wapo chini ya IRGC huku waki dharaulika?. Suprise nyingi zina kuja. IRGC watauwa wanajeshi wengi wa US na washirika wake ila mwisho wa siku wao watafutwa kabisa.
Trump ni CHIZI amesha deploy US marines 2200 na ameongeza 2800 wengine wamefika 5000. Na amesema siku zijazo soon atawaruhusu waingine Iran.USA Hawezi kupeleka Majeshi ya Ardhini Iran!!!
Sababu nyingi sana za kimkakati kijografia !!!
mfano kwasasa Serikali ya hii ya Iraq ingekuwa ndio ya Sadam hussein kwamaana inamaelewano kama ivi.
Marekani isingeenda Iraq kabisa
Wameshindwa YEMEN na Mapesa kibao ya SaudiArabia!!!
Tatizo Sadam kakosa Sapot kabisa. ya Iran Saudi Arabia UAE Qatar kuwait SYRIA jiran wote!!!
Kwasasa Iran na Iraq nikama nchi moja.
Kumbuka Idara Usalama ya Iraq imeundwa na Iran
tofaut na Iraq chini ya Sadam.
So iyo Vita TRUMP hawezi ichokoza kabisaa.
Kwasasa Trump yupo kwenye kikaango cha Uchaguzi wa Mabunge yao,
chama chake republican kinamtaka TRUMP alaka hatoke Iran kabla ya Uchaguzi,